Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 375
- 465
Mkuu hata huko piaIngekua unataka America ningekupa connection ila kwakua ni Europe basi huko sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata huko piaIngekua unataka America ningekupa connection ila kwakua ni Europe basi huko sijui
Asante sana mkuu.Mungu awe naweWewe huna vigezo vya kuingia Europe maana hata kuandika haujui.
Hata huko mkuu ikitokeaIngekua unataka America ningekupa connection ila kwakua ni Europe basi huko sijui
Asante mkuu kwa hekima na busara zakoKusema ukweli huyu dogo anaubongo wa kuku kwani ukifanya kaz nchini au hata jirani utavunjika mpk uende huko usikariri kuwa kule kunamaisha mazuri saana unaweza kulambishwa msukumio ukawa mvaa vipuri kwenye pua ni huzuni kwa wazazi wewe usifikiri ajira hyo certificate utapata wap kaz kwao wakati wenyewe wanagraduats wao tafuta biashara huko ndo utatoboa
Busara au ushuzi wake ?Asante mkuu kwa hekima na busara zako
Watu msio na ambition mnapenda sana kukatisha wenzenu tamaa.Kusema ukweli huyu dogo anaubongo wa kuku kwani ukifanya kaz nchini au hata jirani utavunjika mpk uende huko usikariri kuwa kule kunamaisha mazuri saana unaweza kulambishwa msukumio ukawa mvaa vipuri kwenye pua ni huzuni kwa wazazi wewe usifikiri ajira hyo certificate utapata wap kaz kwao wakati wenyewe wanagraduats wao tafuta biashara huko ndo utatoboa
Hapana mkuu ana busara.muache atukaneBusara au ushuzi wake ?
Tusiongee ukweli tuseme tunakatisha tamaaa nimaamuzi yake kufuata au kutofuata mkuuWatu msio na ambition mnapenda sana kukatisha wenzenu tamaa.
Hata hivyoo sijakutukana unaweza kuona nimeandika dharau ila jaribu kufikiri nje ya matamanio hata mbuyu ulianza chini hangaikia connection unaweza kuteseka ni wewe kufata au kuachaAsante mkuu kwa hekima na busara zako
Akili zako ni fupi sana mtu mzima hawezi kuandika upumbavu kama huo apo.Busara au ushuzi wake ?
Mwamba umemaliza.. you are so content.Nimeona umri wako na ulichosomea ,namie wakati nimewaka Niko fire I was the same age like you. Cha kushauri piga diploma ya nursing itakubeba nje mno ama ujitahidi kujua kuendesha hizi kitambo like fork lift, excavator tipper,semi trailer,ama zamia kwenye dini fulani ujipendekeze mno na wazungu cheki dini yenye wazungu,ama hamia Arusha uwe unawavizia wale vibibi vya kizungu ama Zanzibar,jihusishe na utalii . Ukimpata Bibi mpelekee Moto unashangaa uko Sweden mkuu ,Ila ukifika unakutana na your age mate ukimsaliti tu Basi ndio imetoka. Ama uwe dreva tour hapo Ni rahisi kuwapata.mzungu muda wote anataka uwe umechangamka umfanye acheke ama afurahi yaani uwe funny kwake. Yaani ukienda nje kwa style ya Bibi ukikutana na binti mkali mbichi akakuelewa ukimsaliti ama ukaanza kujiona Kama unapoteza vingi kinafsi ukamsuuza ndio unarudi home. Jitahidi uwe na international driving license,hizi machine za roads na viwandani uzijue, jitahidi uwe equiped with a lot of shits ie multipurpose.
Unaweza ukajiunga dating site za kulipia huko pale penye miaka weka from 45-100 yrs ,umbo andika like umbo la wanene utawapata,wale mabonge kwao huwa hawana soko kwao so huwa wanaangukia kwa blacks,wauza bar,wacheza kasino ndio wake za blacks sie so soko lipo. Jitahidi uwe vizuri Mana Kuna siku mwanamke mmoja akipata likizo akaja chuoni kwetu kutafuta wanaume wa kiafrika wa kumkaza Kama watano Mana mmoja humuwezi. Kuna mshkaji mmoja Cha kwanza alianzia na mkono Sasa Cha Pili akampelekea Moto mpaka akamuelewa akawa ndiye anaitwa kwenda kumkula Mana alikuwa anafanya usahili so akapata aliyemtaka. Nje kazi za kukaza kwa blacks zipo nyingi mno Mana wanaume kule hawana time na kei, Kuna mshkaji mmoja alikuja chuoni na demu wake alikuwa anatafuta blacks wa kumakazia demu wake Mana yeye hamtoshelezi.
unaweza bahatisha mbibi ana pension yake na ya mmewe pia life insurance kazi yako Ni kumsuuza Basi na kula baadaye atafariki atakuachia utarithi. Mbona raisi wa ufaransa mke wake Ni mama yake,hata mwanae mkubwa anamzidi baba take mdogo huyo macron. So ukiwa nje inabidi uvae sura ya nje usijali watu jali maisha yako ndoto zitimie. Unaweza ukaigiza porno Japan Ina uhaba wa wanaume kwa iyo fani jamaa mmoja alidai kuwa anazidiwa smt inabidi a act na wanawake wengi ambavyo sio ratio nzuri kwake so waweza check hizo connection. Tumia net mkuu Ni kitu kikubwa mno sema sie tunatumia kuingia fb jf etc. Kila kitu kipo kwenye net.
So attempt any attempt inayokuja kwako uone itakayofaa ,ambazo za kuhonga discard it,please filter information and even my mind Mana mie Nimekupa takataka zote so uamue uchague mwenyewe ambayo inaendana na personality yako
Burundi,Kenya,DRC,Rwanda na nchi nyingine za aina hiyo,tunaziita NCHI JIRANI.nchi za nje!!! nchi gani??
hata burundi ni nchi za nje
Salute nigga. These are words. But zometoka ndani yako. Practically ndio kazi ama vitendo.ngoja nitakuunganisha na huyo sister umcheki. Sema Nimekukubali nimeelewa Nia yako. If you still digging you'll find a wayOk mimi naweza jibu haya maswali sababu his situation resemble with mine.
1. Faida nilizonayo ni kwamba naweza fanya chochote na kazi yoyote, im very creative ni vile situation yenye niko inanikwamisha sana thats why nahitaji kujaribu mahala pengine ambapo tapata fursa ya kuonyesha uwezo wangu.
2. Umri 26
3. Nchi Canada or USA
4. Desire yangu ya kwenda nnje ni kwa ajiri ya kupata fursa na nafasi ya kusoma zaidi na kufanya kazi zaidi kwa situation yoyote ile na kujiimarisha kimtaji niweze kusimama mwenyewe mbeleni as long as hizo nchi zinatoa nafasi kwa mtu yoyote anaeishi huko kuonesha uwezo wake, tofauti na nchi nyingi za Africa ambapo rushwa na kunyimana fursa na uchache wa fursa vimetawala.
5.So nikitemewa mate na mzungu au mtoto wake, wala sitajari, tamind in my heart ila nitajikaza kiume na kutulia as long as i have my target to bit. na nitajitahidi ku work very proffesional and ignore small shits ili kupunguza risk.
6.Nnje nataka nikafanye kazi zozote available lakini hasa viwandani, na sehemu zinazopata shida kupata watu kama nyumba za wazee, pia nitajiandikisha mitandaoni kama mtu anaefanya kazi yoyote ya muda mrefu hata mfupi (vibarua), ufundi mabomba, garden, cleaner jobs, househelp, driver, etc, na wakati huo nitakua najiendeleza mdogo mdogo kielimu nipate degree zao za huko zinazothaminika (insurance and risk management pia international business + dipromat degrees) , ili after some years niingie kwenye proffesional jobs, pia international driving licence itapatikana, japo kwa sasa nina driving licence ya Tanzania tu class C.
7.Bank sina kitu (savings) bcas ni little bit hard kwa ny situation kufanya servings, hela inaingia na kutoka , ila najua nitahitaji kupata walau Nauri ya ndege, na pesa ya kianzio ya angalau kutoshea hata 1 month, na hii haina shida itapatikana (ikiwemo kuchangiwa na ndugu) kikubwa chance ipatikane ya kwenda then vingine vitakua sorted.
8.Na hapa nitajitahidi hata nipate chuo hasa CANADA, nimeambiwa university of red deer bi little bit affordable na rahisi kupata hicho chuo na waafrika wengi wanasoma hapo, ila hapa kidogo itabidi nitafute hela zaidi and too sad cas itatake time i think, ila kama mtu akitokea kufanikisha kunishika mkono hata kwa 2 semisters tu, then imeisha hiyo na atakua amenisaidia sana.
9.Najua kupata kazi inaweza isiwe easy na sitaki kuingia kinyume cha sheria sababu ni bora niishi nnje (kukosa malazi) nikiwa kwa kushindwa kwangu ila sio nilale nnje kisa sina vibali hivyo nashindwa pata fursa za kazi ama kufight maisha kwa uhuru nikiogopa kudakwa, hapana, nataka niingie kihalali ili niweze kupambana kikweli kweli sio kiwizi wizi.
10.Kuzamia meli ni too risk na sijui ABC zake na kwangu sio good opyion sababu nataka kuingia kihalali, labda nizamie meli kwa kukosa naulu lakini nina makaratasi na vibali vya kuishi huko nakotaka kwenda.
11.Yes hela hata bongo zipo, lakini kuna vikwazo vingi sana yani hakuna hata nafasi ya kujaribu ama kujitolea, na pia kupata exposure kunapanua fikra za mtu, yes unaweza usione fursa hapa, ila ukaenda sehemu nyingine ukaziona kirahisi sana, ndio sababu kuna watu wanaondoka vijijini hawajafanikiwa ila wakienda mjini wanafanikiwa, na wengine mjini hawafanikiwa ila wakienda vijijini wanafanikiwa, mwingine Tz hafanikiwi ila akoenda Kenya anafanikiwa, mkenya vile vile akija tz anaona fursa anafanikiwa na kwao hakuziona, so ni vizuri kujaribu.
12.Nikiambiwa nikae Bongo nilipwe 4M au niende nnje nilipwe 2.5M nitaangalia situation, 2.5M kwa USA au CA ni ndogo sana, tena sana, ila kule kuna fursa ya kufanya kazi zaidi ya moja, kama ni full time basi nitabaki ya bongo ya 4M sababu kwa bongo ni kubwa na tafikia malengo, ila kama hii ya 2.5M ya US itanipa nafasi ya kufanya part time jobs then yes taenda sababu i believe hii itanipa fursa ya kuingiza zaidi ya 4M ya bongo ila nitawekeza TZ kwa hivyo vihela ya wazungu ambavyo kwa husu vina thamani sana.
13.Yes nacheza greeb card every year na pia najutahidi kutafuta, japo pia kama msaada utatokea itakua vema , na pia Green card ikiwezana basi nitashukuru kwa Mungu wa Mbinguni.
14.Niunganishe na huyo dada yes, na nimejibu maswali yako pia mkuu, ukitaka hapa ni sawa, ukihitaji PM ni sawa pia mkuu, shukrani(kwa niaba ya mleta mada)
15.My motive ya kwenda huko ni ili kujaribu kufanikisha malengo yangu, ambayo yes maybe kwa hapa sijaweza na pia hali ya kiuchumi inanikwamisha sana, pia mambo mengine ambayo ni ptivate matter kwa sasa, ila my big motive ni kuweza kupata fursa za kuonesha uwezo wangu na kupata kujiendeleza zaidi kielimu na kumake big investimates in future na sio kuoa wazee ama kutake advantage ya jambo lisilo sahihi.
16.I've handled a lot before hayo ya kusemwa vibaya na kudharauliwa yani hayanipi shida hata kidogo, i have iron heart, i can torelate many ridicurous things as long as im just doing what im supporsed to do, na as long as nina malengo ya kufikia wala hayo hayanipi shida, so yes im strong enough to handle those situations.
17.Yes, im mentally and physically healthy
18.Nimejiandaa ku fight any situations, hapa hapa bongo kuna watu ni ngumu kupata hata hiyo 1000 ya chai asubuhi, lakini im sure and i know that i can win the situation as long as i know im hard working guy basi nachotaka ni hizo fursa tu na si kingine.
Thanks kwa maswali ambayo umeyatoa kwa mtoa mada ila pia nimeyajibu kwa upande wangu sababu pia niko kwenye same situation ya mtoa mada. So pia if you have any connection ambayo unaweza kushare nami then karibu mkuu nitashukuru sana, pia mawazo yako ni muhimu pia. Thanks.
Ok mimi naweza jibu haya maswali sababu his situation resemble with mine.

Shukrani na ubarikiwe sana Mkuu, panapo nafasi basi pia unanitupia tupia vi link najaribu kutafuta fursa zaidi, njia moja ikishindwa basi nyingine inaweza insha-alah.Salute nigga. These are words. But zometoka ndani yako. Practically ndio kazi ama vitendo.ngoja nitakuunganisha na huyo sister umcheki. Sema Nimekukubali nimeelewa Nia yako. If you still digging you'll find a way
Mpo wachache sana duniani.Pambana na jitahidi kufuatilia ila jichunge pia usitoe hela mpaka una uhakika
Njia zipo nyingi za kutoka kama za halali una hela za kutosha utafika
Na kama unataka za panya nazo zipo ila jihadhari sana usipite Sinai na sehemu zingine upande huo
Kama wakikukamata wanakutoa Figo na kuziuza
Huu ni ukweli na pona yako wanakuambia piga simu kwa ndugu zako watume hela ndefu
Sipo hapa kutisha watu ila biashara ya Figo imeshamiri sana duniani tangu zamani na hata Syrians wengi waliuza kwa hiari ili wapate hela za kujikimu na kutoroka vita huko nyuma
Ikawa mtindo katika nchi nyingi
Tafuta hela za kutosha na uje kwa njia za halali au pambana kwa njia zingine at your own risk
Nashukuru sanaMpo wachache sana duniani.