Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

Habali wakuu. Mimi ni kijana mwenye miaka 24 ndoto yangu kubwa siku moja nifanye kazi au kuishi nje ya Tanzania hasa bara LA Europe. Lkn bado sijui nitafikaje lkn nimeomba kazi kwa njia ya mtandao lkn bado sijapata pia nimejalibu kuwaomba watanzania ambao wapo huko lkn bado.nimesomea laboratory industry na certificate. Naombeni ushauli wenu ndugu zanguni kwa yeyote ambaye anamwangaza wa huko.ingawa nimesomea fani hiyo lkn nitafanya kazi yoyote ambayo ni sawa kufanya
Hello bro, im from Eastern Europe, can we talk? Maybe we can help each other
 
Nikwel rahs lkn nitafikaje bila wa kukupa mwangaza? Nimejalibu kila kona .kutafuta kazi mtandaoni lkn bado.ikapelekea kujaza green card lkn bado.lkn sijakata tamaa moyo bado unaniambia nipambane.hvy naombeni msaada wenu hata wa kimawazo.lkn nisameheni msiniambie vikwazo vya kule ya kuteseka sabab hata hapa bongo kuteseka kupo.mfno nlipokuja hapa bongo kutoka mkoani mjomba wangu ambaye mnasema mjomba ni mama alinitelekeza nikakosa pakula,kulala nakula chakula masaa 24 yan kila ifikapo SAA 6 usiku mm ndo nakula tena nakula mkate ule wa ufuta na maji.hvyo kuteseka kupo.nimeazimia mm kwenda nje.naombeni msaada wenu
Green card umejaza mwaka gani ?
 
Kwa njia yyte ile utakayopewa zitahitajika fedha kufika safari yako unayotaka kwenda kutoka africa kwenda bara jingine..

So jipange kwa:

PASSPORT: 150,000
Visa application fees : usd $ kutegemea na nchii
Nauli : 1.5mil ~2mil,
Medical chek ups or medical insurance: Tshs: xxxx,xxx/=
Affidavit of support/proof of fund: hapa wanaweza kuhitaji bank statement, mali unazomiliki etc lakini hii hutgemea aina ya visa unayoomba /dhumuni la safari.

Conclusion: wakati unapambana kutafuta njia za kutoka ,hakikisha pia una fedha kiasi ispunguwe walau 3mil.

Jihadhari na matapeli , mwenye uwezo wa kukupa visa ni ubalozi wa nchi husika tu!
 
Pambana na jitahidi kufuatilia ila jichunge pia usitoe hela mpaka una uhakika
Njia zipo nyingi za kutoka kama za halali una hela za kutosha utafika

Na kama unataka za panya nazo zipo ila jihadhari sana usipite Sinai na sehemu zingine upande huo
Kama wakikukamata wanakutoa Figo na kuziuza
Huu ni ukweli na pona yako wanakuambia piga simu kwa ndugu zako watume hela ndefu

Sipo hapa kutisha watu ila biashara ya Figo imeshamiri sana duniani tangu zamani na hata Syrians wengi waliuza kwa hiari ili wapate hela za kujikimu na kutoroka vita huko nyuma

Ikawa mtindo katika nchi nyingi

Tafuta hela za kutosha na uje kwa njia za halali au pambana kwa njia zingine at your own risk
hela za kutosha, kiasi gani.?
Njia za kupata visa kwa urahisi canada/us or schengen Visa?
 
Kwa njia yyte ile utakayopewa zitahitajika fedha kufika safari yako unayotaka kwenda kutoka africa kwenda bara jingine..

So jipange kwa:

PASSPORT: 150,000
Visa application fees : usd $ kutegemea na nchii
Nauli : 1.5mil ~2mil,
Medical chek ups or medical insurance: Tshs: xxxx,xxx/=
Affidavit of support/proof of fund: hapa wanaweza kuhitaji bank statement, mali unazomiliki etc lakini hii hutgemea aina ya visa unayoomba /dhumuni la safari.

Conclusion: wakati unapambana kutafuta njia za kutoka ,hakikisha pia una fedha kiasi ispunguwe walau 3mil.

Jihadhari na matapeli , mwenye uwezo wa kukupa visa ni ubalozi wa nchi husika tu!
Haya niliyoandika umejipanga vipi.?
 
M3 inatosha kweli ??
 
hela za kutosha, kiasi gani.?
Njia za kupata visa kwa urahisi canada/us or schengen Visa?
Hiyo inategemea inaweza kuwa 20m au zaidi
Schengen visa unaweza kuulizia kama mtalii Italy au nchi unayoona itakuwa rahisi kwako kama mtalii
Kwa Canada labda uchukue visa ya Cuba upite transit halafu ujilipue kama mkimbizi
 
M3 inatosha kweli ??
Itatosha nauli na visa tu, bado utaihitaji fedha nyingi .. hata bank statement uwe na pesa . Pia itategemea unakwenda kwa njia gani, i.e scholarship/job offer/ au program gani
 
Itatosha nauli na visa tu, bado utaihitaji fedha nyingi .. hata bank statement uwe na pesa . Pia itategemea unakwenda kwa njia gani, i.e scholarship/job offer/ au program gani
Kama ni scholarship angalau uwe na pesa ngapi ?
 
Back
Top Bottom