Kwa njia yyte ile utakayopewa zitahitajika fedha kufika safari yako unayotaka kwenda kutoka africa kwenda bara jingine..
So jipange kwa:
PASSPORT: 150,000
Visa application fees : usd $ kutegemea na nchii
Nauli : 1.5mil ~2mil,
Medical chek ups or medical insurance: Tshs: xxxx,xxx/=
Affidavit of support/proof of fund: hapa wanaweza kuhitaji bank statement, mali unazomiliki etc lakini hii hutgemea aina ya visa unayoomba /dhumuni la safari.
Conclusion: wakati unapambana kutafuta njia za kutoka ,hakikisha pia una fedha kiasi ispunguwe walau 3mil.
Jihadhari na matapeli , mwenye uwezo wa kukupa visa ni ubalozi wa nchi husika tu!