Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

Nchi za waarabu, si za kushobokea ki vile, unaenda kule unanyanganywa passport kazi uliyoahidiwa siyo, Kama yaliyowakuta wengine, chonde chonde fikilieni Mara mbili mbili.
 
Habali wakuu. Mimi ni kijana mwenye miaka 24 ndoto yangu kubwa siku moja nifanye kazi au kuishi nje ya Tanzania hasa bara LA Europe. Lkn bado sijui nitafikaje lkn nimeomba kazi kwa njia ya mtandao lkn bado sijapata pia nimejalibu kuwaomba watanzania ambao wapo huko lkn bado.nimesomea laboratory industry na certificate. Naombeni ushauli wenu ndugu zanguni kwa yeyote ambaye anamwangaza wa huko.ingawa nimesomea fani hiyo lkn nitafanya kazi yoyote ambayo ni sawa kufanya
Too young pambana kijana utafanikiwa, tumia magent wa Europe huko huko unapotaka kwenda utapata kazi
 
Wakuu bado mpo kimya sana,bado nahitaji uwepo wenu katika uzii huu.msinichoke bado nahitaji msaada wenu nitatimizaje/ nitapataje connection?
 
Hiyo inategemea inaweza kuwa 20m au zaidi
Schengen visa unaweza kuulizia kama mtalii Italy au nchi unayoona itakuwa rahisi kwako kama mtalii
Kwa Canada labda uchukue visa ya Cuba upite transit halafu ujilipue kama mkimbizi
Canada na marekani hawakuruhusu upite transit kama huna transit visa yao mzee
 
Wakuu bado mpo kimya sana,bado nahitaji uwepo wenu katika uzii huu.msinichoke bado nahitaji msaada wenu nitatimizaje/ nitapataje connection?
Tafuta schoraship ndo njia salama na rahisi kwenda nje
 
Back in the days, we used to have a lot of discussion here in JF on how to migrate legally or illegally in European Countries, and USA.

Same of 'em made it now they are making dough in the white people countries, other people got scammed here in JF and other people postponed their movement whilst some of us, we are still going tough here in TZ hopeful that one day yes.

By the way I'm wishing you good lucky on your planning dude.
 
By the way If you have the plan to go USA then change your thought because the American Embassy could never give visa to any person who they are unsure if he/she will come back home.
 
Mwezi wa 10 mwaka huu omba diversity green card visa zinazotolewa na serikali ya Marekani , zinatolewa kila mwaka ,ni kama bahati na sibu ,unaweza bahatika

Mwezi wa 10 mwaka huu omba diversity green card visa zinazotolewa na serikali ya Marekani , zinatolewa kila mwaka ,ni kama bahati na sibu ,unaweza bahatika
Sawa mkuu.ila mwaka Jana niliomba hvyo nasbri matokeo
 
Back in the days, we used to have a lot of discussion here in JF on how to migrate legally or illegally in European Countries, and USA.

Same of 'em made it now they are making dough in the white people countries, other people got scammed here in JF and other people postponed their movement whilst some of us, we are still going tough here in TZ hopeful that one day yes.

By the way I'm wishing you good lucky on your planning dude.
Thanks
 
Samahani wakuu.hivi green card kwa upande wa Canada inaobwaje?kuna anayejua lini huwa inaobwa na vigezo?
 
Back
Top Bottom