Magreth james
New Member
- Sep 19, 2013
- 3
- 0
Kwa mwanza hizo office hazipo? Mimi nipo mwanza nahitaji hiyo fursaNenda kwenye hiyo ofisi wapo Sinza maeneo ya sheli ya GBP ukafanye registration, Huwa wanatoa kazi za Udereva, kazi za ndani, Cleaners pia.
Wapigie uwaulize namba zao zipo kwenye Hilo bangoKwa mwanza hizo office hazipo? Mimi nipo mwanza nahitaji hiyo fursa
Too young pambana kijana utafanikiwa, tumia magent wa Europe huko huko unapotaka kwenda utapata kaziHabali wakuu. Mimi ni kijana mwenye miaka 24 ndoto yangu kubwa siku moja nifanye kazi au kuishi nje ya Tanzania hasa bara LA Europe. Lkn bado sijui nitafikaje lkn nimeomba kazi kwa njia ya mtandao lkn bado sijapata pia nimejalibu kuwaomba watanzania ambao wapo huko lkn bado.nimesomea laboratory industry na certificate. Naombeni ushauli wenu ndugu zanguni kwa yeyote ambaye anamwangaza wa huko.ingawa nimesomea fani hiyo lkn nitafanya kazi yoyote ambayo ni sawa kufanya
Asante sana kiongoziToo young pambana kijana utafanikiwa, tumia magent wa Europe huko huko unapotaka kwenda utapata kazi
Pia ukiwapata magent niambieToo young pambana kijana utafanikiwa, tumia magent wa Europe huko huko unapotaka kwenda utapata kazi
Mwezi wa 10 mwaka huu omba diversity green card visa zinazotolewa na serikali ya Marekani , zinatolewa kila mwaka ,ni kama bahati na sibu ,unaweza bahatikaWakuu bado mpo kimya sana,bado nahitaji uwepo wenu katika uzii huu.msinichoke bado nahitaji msaada wenu nitatimizaje/ nitapataje connection?
Canada na marekani hawakuruhusu upite transit kama huna transit visa yao mzeeHiyo inategemea inaweza kuwa 20m au zaidi
Schengen visa unaweza kuulizia kama mtalii Italy au nchi unayoona itakuwa rahisi kwako kama mtalii
Kwa Canada labda uchukue visa ya Cuba upite transit halafu ujilipue kama mkimbizi
Tafuta schoraship ndo njia salama na rahisi kwenda njeWakuu bado mpo kimya sana,bado nahitaji uwepo wenu katika uzii huu.msinichoke bado nahitaji msaada wenu nitatimizaje/ nitapataje connection?
Ndio unaomba sasa transit visaCanada na marekani hawakuruhusu upite transit kama huna transit visa yao mzee
Mwezi wa 10 mwaka huu omba diversity green card visa zinazotolewa na serikali ya Marekani , zinatolewa kila mwaka ,ni kama bahati na sibu ,unaweza bahatika
Sawa mkuu.ila mwaka Jana niliomba hvyo nasbri matokeoMwezi wa 10 mwaka huu omba diversity green card visa zinazotolewa na serikali ya Marekani , zinatolewa kila mwaka ,ni kama bahati na sibu ,unaweza bahatika
ThanksBack in the days, we used to have a lot of discussion here in JF on how to migrate legally or illegally in European Countries, and USA.
Same of 'em made it now they are making dough in the white people countries, other people got scammed here in JF and other people postponed their movement whilst some of us, we are still going tough here in TZ hopeful that one day yes.
By the way I'm wishing you good lucky on your planning dude.
Tatizo Nina certificate.sizani kama kuba schoraship naweza kupata.Nina certificate of laboratory in generalTafuta schoraship ndo njia salama na rahisi kwenda nje
AsanteKasome na TASSAA