DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Japo kuna uwezekano ikawa ni Cyst tu (Ovarian) na Sio Fibroid..Umri umeshaenda huo .
Na bila shaka huo uvimbe unaosemea itakuwa ni uterine fibroid maana unachochewa na kama hivyo kuwa na low parity(kuzaa watoto wachache mfano mtoto mmoja) ,nulliparity(kutowahi kuzaa kabisa) ,hormonal imbalance kama vile higher level of oestrogen ,na mara nyingi kadri oestrogen inavyoongezeka na ka fibroid kana ongezeka.
Pia unavyozidi kuchelewa unakuwa kwenye risk kubwa ya mimba kutunga nje ya mji wa mimba (Uterus), hiyo misuli inakuwa inachoka inapelekea kupata cervical incompetence mimba zitaishia kutoka tu.
DR Mambo Jambo
Ndio najua sasa sio unambie nakosaje wa kuzaa nae,ndugu wewe,,hakuna cha muhimu nachofanyiwa kwenye haya maisha,,ila ni for the sake of ur future,,na uzur tatizo umeliona litapelekea ukose mtoto baadae.
😄🙌🏾 yaishe,, umeshinda.Ndio najua sasa sio unambie nakosaje wa kuzaa nae,
Ninachokula mtoto anakula wakati hujui naishi vipi
Ovarian Cyst sio lazima itokee upande mmoja .Duuh we kaka!
Mara ya mwisho nafanya surgery nilitolewa uvimbe kwenye mayai, na sasa umerudi kwenye mayai, fibroids tumbo linauma katikati chini, rafiki yangu alikua nayo, ovarian cyst ni upande mmoja ndio tumbo linauma
Hawaja-usanisha na cancer?Moja mwaka Jana mwezi wa name na nilioanza kuona dalili za uvimbe mwezi wa pili mwaka huu
Tatizo hafunguki vizuri asaidiwe.Japo kuna uwezekano ikawa ni Cyst tu (Ovarian) na Sio Fibroid..
haya bwanNdo utambue maisha yako sio kama ya mwingine ha HATUFANANI MPENZI
Sina mtoto kwasababu sijaamua kuzaa bado hivyo sijajikita kupata mtoto, sijawahi kutibiwa breast cancer, hormone Imbalance sijalimaOvarian Cyst sio lazima itokee upande mmoja .
Ovarian cyst nayo inachangiwa na vitu vingi ikiwemo matibabu ya utasa (matumizi ya muda marefu ya clomiphene kwa ajili ya ovulation) . Nawewe umesema huna mtoto ndio maana huko juu nilikuuliza swala la wewe kutokuwa na mtoto ni kwamba huna uwezo wa kuzaa au unatumia kondomu wakati unafanya mapenzi.
Vitu vingine nikakwambia kuhusu hormonal imbalance mf hypothyroidism nayo inachochea ovarian cyst.
Bado hapo hujaongelea suala la matibabu ya breast cancer zile dawa zake nazo zinachochea hormonal imbalance ambayo inapelekea kupata irregular periods unaishia kupata ovarian cyst.
Kitu kingine cha ziada early menarche nayo ni risk factor ya kupata hiyo ovarian cyst.
Nenda hospitali wakakufanyie hormonal panel test ili wa assess level za hormone kama zipo sawa.Sina mtoto kwasababu sijaamua kuzaa bado hivyo sijajikita kupata mtoto, sijawahi kutibiwa breast cancer, hormone Imbalance sijalima
Naona hapo nimejibu vzr
Hao madaktari hawapo serious kabisa! Kwanza wameshindwa kabisa kukupa malezo yaliyonyooka,pili uvimbe wa kawaida ni ngumu kujirudia baada ya surgeries mbili! Hapo kunashinda kwanzia hao madktar kuna kitu wanakuficha.Hapana
Kuna namba nakutumia pm ya jamaa yangu ni specialist wa mambo ya wanawake japo yupo moshi lkn natumaini anaweza kukushauri jambo,Dar es salaam