Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Chupa imepata mfuniko wakeSs Lucas anajitokeza kwa Style Tofauti
Lucas mwashamba yeye anasema No Reform No Election
Alf Lucas Mwashambwa anasema Oktoba tunatiki
Chupa imepata mfuniko wakeSs Lucas anajitokeza kwa Style Tofauti
Lucas mwashamba yeye anasema No Reform No Election
Alf Lucas Mwashambwa anasema Oktoba tunatiki
Huyo huyoHuyu Mwa nani sijui?
Iyo phase one ikoje?Ya Dodoma bado iko kwenye phase one kimsingi itakuja kuwa Bora sana na haitakuwa lazima kufanana na ya Nairobi
Chupa imepata mfuniko wake
Fundi Lucas Mwashambwa pita mbele tukuoneAje humu atujibu kama ni yeye
Alafu atuambie pia gharama alizotumia kufanya hiyo interior designingFundi Lucas Mwashambwa pita mbele tukuone
Acha kuzunguka. Tuambie tu Interior Designer ni nani na alilipwa kiasi gani?Hata ikiwa nzuri watanzania wanakawaida ya kutopenda vya kwao
Mpaka sasa, hakuna kizuri kilichowahi kubuniwa na wabongo watanzania wakakikubali isipokuwa vya nje tu!
Kwanza mpaka hapa tulipo, kwa maoni mengi ya Watanzania, Tanzania haijawahi kuwa na kiongozi (Rais) mzuri, zaidi ya marais wa nje tu
Ingawa tunatofautiana katika hilo
Mimi naichukia sisiem, ila imewahi kuwa na Marais wazuri na wa kuigwa na wanakubalika hata nje ya Tanzania
Hatuwezi kubeza kila kitu
Mmmmh! jamani; Lucas yuko bize huko.. anashughulikia ID yake iliyodukuliwa kiaina.Au ni Lucas
Mule muleAu ni Lucas
Aje atuambie tu.Mmmmh! jamani; Lucas yuko bize huko.. anashughulikia ID yake iliyodukuliwa kiaina.
Kwa nini tuachane nayo wakati yanafanyika kwa kodi zetu?Nimependa tu hiyo suit ilivomkaa mkorea Evelyn Salt mambo mengine achana nayo
Kama vile unaona anavyoteketea, maana wewe ni mtakatifu!Ikulu ilijengwa kwa kumfurahisha MTU Fulani ambaye kwa sasa yupo motoni
Ikulu ambayo imejengeka vzr ni ile inayozingatia nature na sio majengo Makubwa
Ikulu imejengwa kama tupo uarabuniIkulu ilijengwa kwa kumfurahisha MTU Fulani ambaye kwa sasa yupo motoni
Ikulu ambayo imejengeka vzr ni ile inayozingatia nature na sio majengo Makubwa
inafkilishaSs Lucas anajitokeza kwa Style Tofauti
Lucas mwashamba yeye anasema No Reform No Election
Alf Lucas Mwashambwa anasema Oktoba tunatiki
Hata za Uarabuni nzuri tena sana. Zina viwango vya juu visivyoelezeka.Ikulu imejengwa kama tupo uarabuni
Ya Dodoma bado iko kwenye phase one kimsingi itakuja kuwa Bora sana na haitakuwa lazima kufanana na ya Nairobi