Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

Shida ya Hii nchi ni 1,

Mfano leo hii SAMIA ni rais akisema nataka ikulu ukii gia getini tu kuwe na CHOO.

akaita mafundi wake msingi ukaanza kazi ikaanza...

Akitoka Madarakani wakati kile choo hakijakamilika...

Badala Rais ajae aendelee na Mafundi wale wale walioanza tangu msingi wa choo..

Rais MPYA anatoa wale mafundi analeta mafundi wake anawambia hiki ni chooo kimalizieni.

Ubora utakao toka Hapo ni Kituko.

Shida sio ikulu tu, ni maeneo mengi,miradi mingi, yani inaguswa guswa na kila mtu.

Ki ufupi serikali tunaifananisha na Mwananchi hohe hahe anaetumia MAFUNDI MAIKO kujenga nyumba zake
 
Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya.
Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu
View attachment 3428284View attachment 3428285

View attachment 3428287

View attachment 3428293
View attachment 3428292

View attachment 3428295

View attachment 3428302

Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania
Angalia mazingira, angalia mipangilio ya ndani n.k. Ni kama tumepigwa vile
View attachment 3428288View attachment 3428289View attachment 3428290
View attachment 3428294
View attachment 3428300

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Atakua alipewa kazi kwa kuzingatia kadi ya chama
 
Ukisema ujaze kila kitu kichwani kitaishia kupasuka maarifa mengi nayo ni tatizo
 
Naamini walitumia jeshi. Jeshi huwa siamini kama lina mtu wa hivyo. Kuna picha waya umepita kabisa juu ya kapeti. Dah tunahitaji renovation kubwa. Halafu pia tunahitaji hall kubwa la kufanyia dhifa za Kitaifa za ndani.
 
Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya.
Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu
View attachment 3428284View attachment 3428285

View attachment 3428287

View attachment 3428293
View attachment 3428292

View attachment 3428295

View attachment 3428302

Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania
Angalia mazingira, angalia mipangilio ya ndani n.k. Ni kama tumepigwa vile
View attachment 3428288View attachment 3428289View attachment 3428290
View attachment 3428294
View attachment 3428300

No Reforms No Election ✊️ ✌️
..si hapo tu yapo mengi kuonyesha uwezo wetu wa kufikiri watanzania uko chini sana..
Hebu jaribu kufikiri, ni kweli mti pekee unaopendezesha mahali ni mnazi??? Kuanzia pale Junction kwenda mji wa serikali mtumba, dodoma, kati kati na pembeni ya barabara imepandwa minazi tena mikubwa..lkn hata unapoingia pale airstrip area c dodoma imepandwa minazi mikubwa..ni kweli hakuna miti mizuri ya kupendezesha mahali yenye asili ya dodoma? Minazi kwenye mazingira km dodoma wapi wapi..? Minazi inastawi na kupendeza pwani..! Watu wanakariri tu, zipo breed za miti ya asili nzuri dodoma zinaendana na hali ya dodoma..
Tafadhali wajenzi msirudie ujinga huu kuweka minazi kwenye barabara ya "ring road" na ile ya kwenda msalato intern. airport..waziri, meya, wakandarasi tumieni akili, weka vitu vyenye kuendana na hali ya mazingira ya dodoma na kuonyesha hali halisi ya dodoma! Mbona hatuoni miti ya jangwani kupandwa pwani..?
 
Nchi masikini haina haja ya kuwa na ikulu ya ufahari kama makasri ya wafalme wa kiarabu
 
Jameni Ikulu ya Chamwino ndiyo kwanza Ina miaka sijui 5 tangu wahamie hapo,... Kwa hiyo mazingira yake huwezi kufananisha Moja kwa moja na mazingira ya Ikulu ya Nairobi yenye miaka mingi hapo....

Ungelinganisha Ikulu ya DSM na hiyo ya Nairobi hapo ingekuwa sawa.....


Mazingira ya Ikulu ya Chamwino bado yanaendelea kuwekwa sawa.... Hata miaka 6 haijatimia tangu State wahamie hapo....


So you can't compare right now.....
 
..si hapo tu yapo mengi kuonyesha uwezo wetu wa kufikiri watanzania uko chini sana..
Hebu jaribu kufikiri, ni kweli mti pekee unaopendezesha mahali ni mnazi??? Kuanzia pale Junction kwenda mji wa serikali mtumba, dodoma, kati kati na pembeni ya barabara imepandwa minazi tena mikubwa..lkn hata unapoingia pale airstrip area c dodoma imepandwa minazi mikubwa..ni kweli hakuna miti mizuri ya kupendezesha mahali yenye asili ya dodoma? Minazi kwenye mazingira km dodoma wapi wapi..? Minazi inastawi na kupendeza pwani..! Watu wanakariri tu, zipo breed za miti ya asili nzuri dodoma zinaendana na hali ya dodoma..
Tafadhali wajenzi msirudie ujinga huu kuweka minazi kwenye barabara ya "ring road" na ile ya kwenda msalato intern. airport..waziri, meya, wakandarasi tumieni akili, weka vitu vyenye kuendana na hali ya mazingira ya dodoma na kuonyesha hali halisi ya dodoma! Mbona hatuoni miti ya jangwani kupandwa pwani..?
Wamejaza minazi😆
 
Back
Top Bottom