Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya.
Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu
View attachment 3428284View attachment 3428285

View attachment 3428287

View attachment 3428293
View attachment 3428292

View attachment 3428295

View attachment 3428302

Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania
Angalia mazingira, angalia mipangilio ya ndani n.k. Ni kama tumepigwa vile
View attachment 3428288View attachment 3428289View attachment 3428290
View attachment 3428294
View attachment 3428300

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Sasa utalinganisha akili ya Ruto na ya Bi. Chura mzee??😂

Akili za chura kitu rahisi walichoona ni kumjazia zulia jekundu kila mahali apambane na mafua yake.
 
Ila watanzania …sa shida ya ikulu yetu iko wapi hapo
 
Back
Top Bottom