one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Kwa ujumla Tanzania nzima kwenye suala la finishing na decoration tupo nyuma sana nyumba nyingi.
Kama hauoni shida basi wewe ndo shida.Ila watanzania …sa shida ya ikulu yetu iko wapi hapo
Nakubaliana na wewe.Jambo lolote linalohusiana na CCM lazima liwe la hovyo tu.
ndani ya mitaa ya Kabul -Afghanistan
Ujivunie hata kama kinafanywa hovyo?Tuwe na tabia ya kujivunia vya kwetu na kuvisifia.
Chako ni chako haidhuru kina chongo.
Kama unaiona poa basi na wewe ni tatizo au sehemu ya tatizo.Ikulu ipo poa tu.
Na yule mama yako malaya aliyekuzaa yeye yuko wapi?Ikulu ilijengwa kwa kumfurahisha MTU Fulani ambaye kwa sasa yupo motoni
Ikulu ambayo imejengeka vzr ni ile inayozingatia nature na sio majengo Makubwa
Wewe nyumbu kweli utajua hata designing ya Ikulu kweli?Ujivunie hata kama kinafanywa hovyo?
😁😁😁 yupo Ila sio motoniNa yule mama yako malaya aliyekuzaa yeye yuko wapi?
Ya Dodoma achana nayo, linganisha na Magogoni
Fundi Maiko marehemu Mbunge na vijanawake wa JKTKandarasi hiyo alipewa fumdi Maiko. Panaonelana kama bwalo la wanafunzi