Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

Yaani mechi ya juzi na TP Mazembe? Yaani viungo wa simba waliwafunika viungo wa TP Mazembe? 😀 😀 😀

Yani kuna comments za watu ukizisoma unaona kabisa anabeba kichwa kama kifuniko cha shingo. Msamehe tu bure
 
Pole sana

Naona unamlinganisha Defensive midfielder na Attacking midfielder kwa kigezo cha assist na magoli.

Hivi unajua hata position wanazocheza uwanjani?

Mngelijua hilo mngethubutu kusema aucho kamzidi chama, bwalya, mzamiru nk?
 
Pole sana

Naona unamlinganisha Defensive midfielder na Attacking midfielder kwa kigezo cha assist na magoli.

Hivi unajua hata position wanazocheza uwanjani?
Analinganisha defensive midfielder na Attacking Midfielder. Alafu anaandika weee kama anamwaga mambo ya maana vile...[emoji23][emoji23] ... Huyu atakuja kufananisha Manula na Mayele...
 
Analinganisha defensive midfielder na Attacking Midfielder. Alafu anaandika weee kama anamwaga mambo ya maana vile...[emoji23][emoji23] ... Huyu atakuja kufananisha Manula na Mayele...
Yaani sometimes unajikuta unabishana na mtu ambaye hajui lolote ila anabisha tu ilimradi
 
kwasababu sijakubaliana na mtazamo wako?

Huyu mleta mada huwa ana tatizo kubwa la kisaikolojia,huwezi kuwa unatukana ovyo watu usiowajua,ni kama huwa analeta frustration zake za maisha hapa JF.Msamehe bure
 
Wewe jamaa unapenda timu lakini sio mpira,so utabishana mpaka ufe kama kadi yenu inavyosema huko kolokwinyo
 
AUCHO ni mutu na nusu asee, binafsi nilishangaa kuachwa aende yanga

Mo ni kituko.

Tutolee hapa utopolo wako,eti Mo ni kituko,wewe ulishatoa hata shs 1 ya kusajili mchezaji pale Simba?
 
Wewe jamaa unapenda timu lakini sio mpira,so utabishana mpaka ufe kama kadi yenu inavyosema huko kolokwinyo

Na wewe utopolo hujioni,Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake, wewe ulitakaje sasa?
 
Aucho kacheza level gani champions league. Ni wakawaida sana shida media za bongo hovyoo zikiamua kumpamba mchezaji.
Mkumbuke mdogo wake Dany Serenkuma alivyosifiwa simba na aliupiga hasa baadae aliondoka kimya kimya. Hata Shiboub. Kiungo mkali haji bongo anasonga ulaya acheni uzuzuuu
 
Anakukuna wapo mkuu na kwa kifaa gani !!
 
Kwa hiyo umeanza kumuona akiwa Yanga ... Bora nafaka ukiitwanga utaitenganisha na makapi yake ..ila ni ngumu kukutenganisha we we na ujinga wako hata tukutwange vipi ..
 
Ila Waliokuja simba ni wakali !!!?? MNA upuuzi sana makolo
 
Kiukwel viungo wa simba ni viungo vya pilau tu kwa jamaa
 
Msalimie Gentamycin
 
Wewe jamaa unapenda timu lakini sio mpira,so utabishana mpaka ufe kama kadi yenu inavyosema huko kolokwinyo
Mzee hizo ni data sio maneno yangu nimejitungia, kama kweli unapenda soka ulipaswa uje na data za ku disprove, hivyo ndivyo mambo hufanyika
 
Huyu mleta mada huwa ana tatizo kubwa la kisaikolojia,huwezi kuwa unatukana ovyo watu usiowajua,ni kama huwa analeta frustration zake za maisha hapa JF.Msamehe bure
huyu wengi wamekua wakimhusisha na genta kwa aina ya uandishhi na hata panic za kijinga, yani kwenye uzi wake ukitofautiana naye kimtazamo unakua adui yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…