Mkude na Aucho ni mbingu na Ardhi, mkude afikii ata uwezo wa chuji achana na Aucho. Khalid Aucho ana CAPS 50 za nationational team ya Uganda ambayo kwenye Ranks za Fiffa Uganda Ina soma 74-76 kwa miaka Mingi achana na sisi wa 130-140.
Aucho amecheza Ligi Uganda, Kenya, South Africa, Serbia, India, Missi n.k. ivi kweli uta mfananisha na mkude Ambaye National Team hafikishi CAPS 20 tangu aanze kucheza Soka.
Mkude ni Kiungo wa ulinzi ambaye hanasifa ya kuruka juu, ku press opponent, kunyang'anya mipira, kupiga penetration pass mda wote aki kabwa pass ya Kwanza inarudishwa nyuma.
Ndio maana anaweza akaitwa timu ya taifa na anaishia bench.