Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

Mchezaji wa kawaida mno huyo takataka, Kanoute is better than that trash.
 
Aucho ni DLM na wala sio AMF wala CAM

Kazi kubwa ya DLM ni kuchezesha timu na kuhakikisha timu inatoka nyuma na mpira na inakwenda mbele.

Kwa mpira wa kisasa wa hii karne,DLM ndo ana link mabeki na viungo washambuliaji au mawinga.

Kwahyo kwa position yake ni ngumu kushinda au kutoa assist.

Aucho ni kama Xhaka pale arsenal,Kama Sergio bosquet pale Barca,Rodrigo pale man city au jorginho pale Chelsea.
 
Acha ujinga.
Ukiondoa Seleman Matola hakuna kiungo mwingine aliyecheza kwa mafanikio makubwa pale Simba kama Mkude

Na mpaka sasa kwa karne ya 21 hakujatokea hapa Tanzania midfielder bora kama Mkude.

Katika Ligi kuu ya Tanzania kuna wachezaji watatu tu wa kigeni wenye uwezo unaofanana ambao huwezi kulinganisha na wengine.
1.Clatous Chama
2. Patrick Mutesa Mafisango
3. Haruna Niyonzima.
 
yanga ishapata muunganiko au bado? jibu kwanza. feisal tangu ajiunge na yanga hajabeba kombe zaidi ya ubao
Fiston Mayele aliweza kukupa jibu kuhusu Muunganiko ipalle Taifa.
 
Kwanza Niku ulize, mkude ni kiungo wa kumshambulia au kiungo wa kuzuia maana tusije tukawa tuna tofautiana uelewa!!!.
 
Kwanza Niku ulize, mkude ni kiungo wa kumshambulia au kiungo wa kuzuia maana tusije tukawa tuna tofautiana uelewa!!!.
Mkude anacheza nafasi hiyo hiyo anayocheza Aucho

Unasemaje?
 
Ur talking as a gay man who is in love with Khalid Aucho.. acha ushoga.

Mwanaume unamsifia vp mwanaume MWENZAKO kiasi hicho
 
Ur talking as a gay man who is in love with Khalid Aucho.. acha ushoga.

Mwanaume unamsifia vp mwanaume MWENZAKO kiasi hicho
Mkuu mie kingereza sikijui,ndo kumaanisha umenitukana tusi jipya?[emoji23][emoji23][emoji23],punguza hasira mkuu,maisha ni maraisi sana.
 
Fact hao mashabiki wa makolo ttzo lao wamejimilikisha kila zuri liwe upande wao wapuuzi sana binafsi nampongeza hyu mtani katiloa mawazo yake kimpira hasa sio ushabiki
 
Mkuu mie kingereza sikijui,ndo kumaanisha umenitukana tusi jipya?[emoji23][emoji23][emoji23],punguza hasira mkuu,maisha ni maraisi sana.
Nilikuwa namquote Genta
 
Mkude anacheza nafasi hiyo hiyo anayocheza Aucho

Unasemaje?
Mkude na Aucho ni mbingu na Ardhi, mkude afikii ata uwezo wa chuji achana na Aucho. Khalid Aucho ana CAPS 50 za nationational team ya Uganda ambayo kwenye Ranks za Fiffa Uganda Ina soma 74-76 kwa miaka Mingi achana na sisi wa 130-140.
Aucho amecheza Ligi Uganda, Kenya, South Africa, Serbia, India, Missi n.k. ivi kweli uta mfananisha na mkude Ambaye National Team hafikishi CAPS 20 tangu aanze kucheza Soka.
Mkude ni Kiungo wa ulinzi ambaye hanasifa ya kuruka juu, ku press opponent, kunyang'anya mipira, kupiga penetration pass mda wote aki kabwa pass ya Kwanza inarudishwa nyuma.
Ndio maana anaweza akaitwa timu ya taifa na anaishia bench.
 
mchezaji wa maana hawezi kubali sajiliwa na yanga. yaani asionekane kinataifa, asitake mshahara mkubwa kama wa miquison au chama. huo ni ujuha. fei tangu acheze yanga hajachukua ubingwa na wala hamna timu hata moja ya nje iliomtaka.
Hata Morrison alivyokuwa Yanga alipondwa sana kuwa hajui mpira zaidi ya kuupanda mpira. Leo hii yupo Simba kila mtu anamwona ndio Star wa Simba kuliko mchezaji yeyote. Binadamu ndivyo tulivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…