Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Especially ukiwa unafanya mpenzi huku una stress mambo yako ya kimaisha na shule hayaendi sawa hapo lazima utaonekana hanithi
Stress ni sumu mbaya sana kwa erection, hata walioko kwenye ndoa wanakutana na hii kitu
 
Asantee sana Kaka mkubwa
We got you
Yote uliyosema nimeyapiga bold
Big up[emoji123] [emoji109]
 
Stress ni sumu mbaya sana kwa erection, hata walioko kwenye ndoa wanakutana na hii kitu

Nilikutana na hiyo hali Bro Mshana kipindi mambo yangu hayaendi kabisa....nilikuwa nafanya tu physically lakini mentality nilikuwa sipo kabisa pale yani nguvu ya stress mbaya sana
 
Ndio maana kuepusha matatizo ndani ya mahusiano inabidi uwe muwazi kwa mwenza wako ili ajue kabisa kuwa ukiwa katika mazingira fulani magumu performance inashuka viwango
 
Reactions: SDG

wengine wagumu kuelewa mkuu mshana...halafu hali hiyo ya stress nilikuwa nayo karibu mwaka mzima
 
I can feel the pains within...kuna wakati kuna mambo ni kumwachia Mungu tu akuongoze
 
Asante mkuuu
 
Mkuu heshima yako.
 
Huu ushauri utakua na mchango mkubwa sana maishan mwng......shkran sana bro mshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…