Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

Imeisha iyo, na lazima uwe muislamu? Na kwenye Ramadhani wakristo wa uko wanaishije
Kanisa lipo la katoliki mbona

Mimi nimekaa huko kilindoni na jibondo ndiyo sana, kuko poa sana
Fursa zipo pia, we nenda tu utajionea

Ova
 
Hujaona comments za hapo juu watu wameogopesha eti kwenye Ramadhani Kama we sio muislamu utajuta
Ukiwa na mawazo hayo hutatusua
Utabakia kuwa muoga na kubakia mjini na wavaa tai wanangojea mshahara mwisho wa Mwezi, mipango wanapanga mingi utekelezaji zeroooo
Nenda huko ukajifunze fursa ya biashara ya samaki, mwani, nazi etc
Achana na watoto wa kutoka vyuoni watakuchelesha
Kuna wabongo wanaenda Somalia kuhangaika sembuse Mafia

Ova
 
Hii nchi ngumu sana kwakweli ina maana mkristu ana kauspesho gani kushindwa kuishi mafia?yani tunakeraga sie makafiri basi tu

Unaelewa maana ya kafiri?. Mtu asiyemwamini Mungu.
 
Uko sawa kabisa..bora familia aiache hata kibiti...aende huko akapige kazi yeye..sio sehemu salama kwa makuzi ya watoto..uswahili mwingi wengi hawana elimu wanaamini ushirikina.

#MaendeleoHayanaChama
Uchawi tena
 
Basi washamba
 
website ya serikali nimekuwekea, majibu yote yapo hapo... ukiona hapakufai una acha kazi bosi, waacheni watu na maadili yao na ustaarab wao... endeleeni kukaa na wamasai walio starabika na kuelimika huko mapolini
Cool dude
 
Kanisa lipo la katoliki mbona

Mimi nimekaa huko kilindoni na jibondo ndiyo sana, kuko poa sana
Fursa zipo pia, we nenda tu utajionea

Ova
Sawa chief
 
jamii nzima wasomi hawafiki kumi... maajabu haya...! mkuu historia ya mafia waielewa kweli mkuu? wapo wengi sana serikalini na katika mashirika kwa mfano WFP, FAO... tuache hawa wanao fahamika na wengi kama Balozi Dr. Ramadhani Kitwana...
Ukweli ni kwamba Mafia ki Elimu IPO nyuma, wilaya nzima ina shule 8 za sekondari
 
Wakuhesabu ndio mana mnafahamiana...licha ya hivyo wanatija gani kwa ndugu zao hapo kisiwani..penye njaa na umasikini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama mdg ako hata taka hyo kaz mmwambie aniunganolishie mm nikapambane mwak mmoja tu
 
We ndo yule mke wa Diwani?
 
Ukweli ni kwamba Mafia ki Elimu IPO nyuma, wilaya nzima ina shule 8 za sekondari
wilaya nzima ina kata ngapi? ndio maana nime kwambia mafia unaimaliza kwa siku moja... hapo haujelewa ndugu? wilaya gani unaweza maliza kwa siku huku bara?
 
Wakuhesabu ndio mana mnafahamiana...licha ya hivyo wanatija gani kwa ndugu zao hapo kisiwani..penye njaa na umasikini.

#MaendeleoHayanaChama
idadi ya wamafia ni sawa na wasukuma au masai? ukija kuweka rates wasio soma na walio soma hata ktk kabila lako au eneo unalotoka utaelewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…