Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu, akapandaa juu ya sturi akafungua dari na kuchukua kitabu kama kava hivi halaf akatoa condom (salama)..kuna kiwimbo kizuri kwny background kinaimbwa....nakupenda mpeenz wangu..kukulinda na magonjwa...hakika ni kiwimbo kizuri..halafu maneno ya mtangazaji yanamalizia kwa kusema...kama unampenda utamlindaa..
Na pia tangazo jingine la hivyo mvua inanyesha wanajikinga kwa mwanvuli ulioandikwa salama condom..the same background song..je huo wimbo kauimba nani?
Na pia tangazo jingine la hivyo mvua inanyesha wanajikinga kwa mwanvuli ulioandikwa salama condom..the same background song..je huo wimbo kauimba nani?