badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,761
Hizo ni pesa nyingi sana zinaweza kumjengea kila Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam nyumba ya vyumba vitatu iweje watu wachache mgawane mgao mkubwa hivyo?
Hapa watu wa kuwahusisha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri wa Fedha pamoja na baadhi ya maofisa wa Ikulu.
Tumsaidie Mheshimiwa Rais manake huwezi jua kuna watu wanakusanya pesa za kuhonga uchaguzi mkuu ujao TISS mko wapi?