Ni kweli mkuu hili jambo lisiishie hivi hivi wah. Wabunge Wakomae nalo, lazima wajulikane ili iwe fundisho huo ni usaliti wa hali ya juu,mambo ya Spika kusema kuwa hilo halipo kwenye ripoti ya cag,aache tu lijadiliwe kwani Mh.Rais alilitoa hadharani alikuwa Ana maana yake kubwa labda anataka pia mrejesho,sometimes inaweza kuwa ni tactic ya mh.rais kupata ushauri au mawazo ya wananchi namna hilo jambo lishughulikiwe,so tusiconclude yeye kulitoa hadharani ilikuwa ni jambo la kimkakati pia yawezekana ni ili vyombo vya kiuchunguzi vinaposhughulikia visiingie uoga wowote maana ameshaonyesha msimamo wake ,kwasababu ni wazi pia jambo kama hili linagusa watu wazito wenye mamlaka makubwa.tumpongeze mh. Rais kulitolea kauli hili na mengine mengi hii inawapa confidence wanaoyashughulikia haya kama,Bunge Takukuru,Polisi,DPP, na Taasisi nyingine za kiuchunguzi na kinidhamu