Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Nashukuru mkuuTumia application. Usitumie web version.
Ingia Play store download X.
Twitter haifunguki kwasababu siku hizi haipo. Labda ujaribu mtandao wa X!Ndugu zangu Watanzania,
Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.
Leo pia tatizo limekuwa ni hilo hilo ,kila nikifungua inaandika tu kama inavyoonekana hapo chini katika picha .Nauliza je tatizo hili ni kwa wote au ni kwangu tu. Na kama ni kwangu tu je tatizo linaweza kuwa nini?View attachment 3029611
Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Machozi yatubujijika kwa kujua comrade lucas una acc X haya unatumia jina gani tutembelee!Ndugu zangu Watanzania,
Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.
Leo pia tatizo limekuwa ni hilo hilo ,kila nikifungua inaandika tu kama inavyoonekana hapo chini katika picha .Nauliza je tatizo hili ni kwa wote au ni kwangu tu. Na kama ni kwangu tu je tatizo linaweza kuwa nini?View attachment 3029611
Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Inasikitisha sana hata hela ya vocha hawakusaidii? Unavyojitoa kwenye uchawa dah . Is hiw uvisisiem ina treat watetezi wake?Ndugu zangu Watanzania,
Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.
Leo pia tatizo limekuwa ni hilo hilo ,kila nikifungua inaandika tu kama inavyoonekana hapo chini katika picha .Nauliza je tatizo hili ni kwa wote au ni kwangu tu. Na kama ni kwangu tu je tatizo linaweza kuwa nini?View attachment 3029611
Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Whaat! Kumbe wewe jamaa ni KE ? 😂😂Hatutaki maneno ya uchonganishi
Mimi na Lucas mitano tena
Chaliifrancisco njoo umchukue mtu wako muendeWhaat! Kumbe wewe jamaa ni KE ? 😂😂
Chaliifrancisco njoo umchukue mtu wako muende
Wewe tena shemela?Kutuuliza sisi unatuonea! Muulize mama anayeupiga mwingi
Ndiye mimi! Hapo umefurahi kimoyomoyoWewe tena?
Kama unatumia android device nenda playstore search X au twitter kisha UPDATE.. mwezi huu kuna update mpya ndio maana inasumbua mpaka ufanye updateNdugu zangu Watanzania,
Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.
Leo pia tatizo limekuwa ni hilo hilo ,kila nikifungua inaandika tu kama inavyoonekana hapo chini katika picha .Nauliza je tatizo hili ni kwa wote au ni kwangu tu. Na kama ni kwangu tu je tatizo linaweza kuwa nini?View attachment 3029611
Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sana tu agiza chochote hapo ulipo nalipa mimi.Ndiye mimi! Hapo umefurahi kimoyomoyo
Mazee, mbona sijamnyaka bado?Ndugu yako
Msaidie shemejiKutuuliza sisi unatuonea! Muulize mama anayeupiga mwingi
Kweli michosho sana huyu jamaa
Maombi yako hayawezi kufanikiwa maana kwa sasa tayari nimeshaanza kufurahi x baada ya kupewa ushauri na maelekezo wa nini cha kufanya .asante kwa mdau aliye nishauri