Naomba kusaidiwa kwanini mtandao wa Twitter haufunguki Kwangu Tangia jana?

Screenshot_20240630-121746.png
 
Ndugu zangu Watanzania,

Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.

Leo pia tatizo limekuwa ni hilo hilo ,kila nikifungua inaandika tu kama inavyoonekana hapo chini katika picha .Nauliza je tatizo hili ni kwa wote au ni kwangu tu. Na kama ni kwangu tu je tatizo linaweza kuwa nini?View attachment 3029611

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Twitter haifunguki kwasababu siku hizi haipo. Labda ujaribu mtandao wa X!
 
Machozi yatubujijika kwa kujua comrade lucas una acc X haya unatumia jina gani tutembelee!
 
Nyie vijana wa uvccm mliomba tcra waufungie amuhitaji hyo X yaan Twitter.
Basi waungwana tcra wameona isiwe shida nyie msioitaka wamewapiga ngwara sisi tunayoitaka mambo supa kabisa tunadunda
 
Attachments

  • Screenshot_20240630-132925.jpg
    Screenshot_20240630-132925.jpg
    203.1 KB · Views: 3
Ndugu zangu Watanzania,

Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.

Leo pia tatizo limekuwa ni hilo hilo ,kila nikifungua inaandika tu kama inavyoonekana hapo chini katika picha .Nauliza je tatizo hili ni kwa wote au ni kwangu tu. Na kama ni kwangu tu je tatizo linaweza kuwa nini?View attachment 3029611

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Inasikitisha sana hata hela ya vocha hawakusaidii? Unavyojitoa kwenye uchawa dah . Is hiw uvisisiem ina treat watetezi wake?

Tafuta pesa 😂😂😂😂🇰
 
Ndugu zangu Watanzania,

Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao upo chini lakini nikaona mtandao upo vizuri na una kasi nzuri sana na unafunguka vyema kabisa.

Leo pia tatizo limekuwa ni hilo hilo ,kila nikifungua inaandika tu kama inavyoonekana hapo chini katika picha .Nauliza je tatizo hili ni kwa wote au ni kwangu tu. Na kama ni kwangu tu je tatizo linaweza kuwa nini?View attachment 3029611

Kazi iendelee , Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama unatumia android device nenda playstore search X au twitter kisha UPDATE.. mwezi huu kuna update mpya ndio maana inasumbua mpaka ufanye update
 
Back
Top Bottom