Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Jibu rahisi biblia imejaa contradictions na uongo mwingi kuliko ukweli. Kuna mtu duniani ana propaganda kushinda mzungu. Hizi historia za karibuni wametupiga porojo nyingi itakuwa kwenye biblia yenye matoleo mbalimbali

Okay inahusianaje na Allah kuwa na mwili na kama ana qualify kwa vigezo vyako? Assume Biblia ina hayo yoote unayoyasema.
Sasa jibu swali kama Allah ni mungu kwako ama la!
 
Naona swali limekuwa zito, unawayawaya tu, mara Biblia mara Wayahudi wakati swali halihusishi Biblia wala hayo matakataka ya picha unayookoteza.

Umeajikamata kwa maneno yako sasa unakukuruka tu. Acha nikupotezeee. Wenye akili wameelewa kuwa huna hoja!
 
We anakuhusu nini?
Pambana na hali yako
 
Okay inahusianaje na Allah kuwa na mwili na kama ana qualify kwa vigezo vyako? Assume Biblia ina hayo yoote unayoyasema.
Sasa jibu swali kama Allah ni mungu kwako ama la!
Allah ni Mungu wa viumbe vyote sio kwangu tu. Ndiye aliyeumba kila kitu.
 
Najua umeelewa. Nitakuewekea picha na video sababu maandishi matupu kichwa kimekuwa kigumu.
 
yesu hajasali hekaluni ila aliwakataza kuweka meza na viti kufanya ibada na kufanya biashara kama wanavyofanya sasa makanisani
 
soma hii hajasali hekaluni : 15 Walipofika Yerusalemu, Yesu aliingia Hekaluni akaanza kuwafukuza watu waliokuwa wakifanya biashara humo. Akapindua meza za waliokuwa wakibadilisha fedha na viti vya watu waliokuwa wakiuza njiwa. 16 Hakuruhusu mtu ye yote kuchukua bidhaa kupi tia ukumbi wa Hekalu. 17 Akawafundisha akisema, “Je, haikuan dikwa katika Maandiko kuwa: ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa watu wote’? Mbona ninyi mmeigeuza kuwa pango la wany ang’anyi?” marko 11 16
 
. 34 (angalieni yesu alivyoomba kwa kusujudu) Akawaambia, “Moyo wangu umejaa huzuni kiasi cha kufa; kaeni hapa mkeshe.” 35 Akaenda mbele kidogo, akajitupa chi ni akaomba kuwa kama ikiwezekana saa hiyo ya mateso aiepuke:
 
Kifupi kabisa ni kwamba, Uislamu haujakanilika!
Ni imani pekee Duniani ambayo inategemea imani nyingine ili ikamilike.
Bora hata wabaoabudu Ng'ombe hawahitaji dini nyingine kujikamilisha.

Uislamu haupo bila kujihalalisha kwa Ukristo
Hujui kama ndani ya Quruani kuna vitabu vyote
Pamoja na kujiunga jf juzi ila maswali kama haya yanaulizwa huko facebook, ni ya kitoto sana.

Then kama walivaa kanzu na akasujudu what gonna get fixed your heart.
Nauliza maswali kutokana na uelewa wa watu jinsi watakavyojibu,labda nikuulize wewe Ukristo ulianzishwa na nani?
 
Wewe una amini una maarifa, hayo maarifa ya hicho kitabu yanakufanya uamini ni cha kweli?
Kama una maarifa unaweza thibitisha kuwa una maarifa au ndio nyani haoni kundule!
Relegion books are all myth_ so you have to belive myth or not, nothing can be proven outside those books.
Unavyomuona huyo charles hana maarifa nawe kuna watu wanakuona huna maarifa kwa kujenga imani isiothibitika kwa mwingine.
Dini moja huiona dini nyingine kituko. Ukweli ni kwamba umerithi imani kutoka kwa wazazi, huja fanya analysis ya dini zote na kubaini ukweli. Ukifanya critical analysis utagundua mengi ni hadith zinazokulazimu uziamini bila ithibati.
 
Sikuomba nukuu na hiyo picha sio Biblia. Nilichouliza ambacho hujajibu, wewe binafsi, una tatizo gani na Uungu wa Yesu? Yaani jisemee wewe na sio cpy and paste au picha, una tatizo gani na Yesu kuwa Mungu?
MwenyEnzi MUNGU ni wa pekee Ametakasika Hajazaa wala kuzaliwa ,hana anayefanana naye hata mmoja Yesu ni mtume na Nabii wa MUNGU kama mitume & Nabii wengine kazaliwa na mama kama wewe MUNGU hawezi kuzaliwa sasa kipindi yupo tumboni mwa mama yake maryam nae alikuwa mwanamke mchaMungu alikuwa unataka kusema akiomba kile kilichopo tumboni mwake ?pia baadhi ya wengi kwa kutokuwa na uelewa hushindw kutofautisha miujiza waliopewa mitume kwa mitume mfn Nabii Adam hakuwa na Baba wala mama tofauti na mitume wote na ndio Mwanzo was binadamu wote ulimwenguni mfn mwingine musa kupita kati ya bahari na wana Israel ,mfalme Suleiman kuamrisha majini kufanya shughuli mblmbl pmoja na hekima aliobarikiwa na utajiri ambao hautawahi kuwa nao yeyote ule ulimwenguni ,yunus kumezwa na samaki n.k
 
Ni Upuuzi mkubwa sana kumuamini Mtu aliyejitokea tu Pangoni mwaka 600AD kisha akaanza kusema yaliyotokea mwaka 33AD Ni uongo....
Na kwamba yeye ndiye mkweli Wakati hata kusoma na Kuandika Tu Hufahamu.

Ni hudhuni kwa kweli.
 
Kwani Wayahudi ni Waisalam?
 
Ukiona hadi sasa ujapata likes tambua umeandika takataka
 
Ukitaka kufikiria mambo ya Mungu wa wakristo unatakiwa dhana Yako ya Mungu wako Allah ambae ni physical being uiweke pembeni

Mungu wa wakristo ni Roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…