Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Wewe umekula maharage ya wapi?huo Uisilamu unapozungumzia wa wapi?
 
Itakua ulitaka kuuliza Yesu alikua ni dini/njia gani??

Jibu-----Yesu hakua na dini/njia Bali yeye ndo dini/njia yenyewe 👇👇

Yohana 14:4-6
[4]Nami niendako mwaijua njia.

[5]Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia?

[6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.


Najua Kuna watu watasema alikua ni muumini wa dini/njia Yao bila kujua Yesu alikuwepo kabla ya dini Yao kuanzishwa

🏃🏃🏃
 
Mbali na mabikira sabini na mbili,
Pia nasikia kutakuwa mito ya pombe mbali mbali,
Watu watakula masanga mpaka waseme baaaasi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…