Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
- Thread starter
- #401
kwanza jiulize nyakati za yesu ilikuwaje na ni dini zipi zilikuwapo ndio jibu utalipata hapni
Toka kuumbwa kwa Dunia dini ni Moja tu nayo ni Uisilamu,lakini tamaduni na makabira ndiyo tofauti.Yakubu au Yakobo alilia mwanae Yusufu alipopelekwa kuuzwa utumwani mpaka macho yakapofuka siku walipokutana na Mwanae Yusufu alimuuliza baba yake kwa nini umelia mpaka macho yamepofuka wakati ulijua kabisa kwamba nisingedhurika? Jibu la baba yake lilikuwa nilikuwa naogopa usije ukafata Dini nyingine isiyokuwa Uisilamukwanza jiulize nyakati za yesu ilikuwaje na ni dini zipi zilikuwapo ndio jibu utalipata hapo