Mkuu nakuheshimu,Ila nakuonea huruma jinsi ulivyo mtupu kichwani
Hiki ulichokiandika hapa chini kimedhihirisha huruma unatakiwa kujionea wewe ambae ndiyo mtupu. Nakuonyesha ulivyokuwa huna maarifa juu ya jambo hili.
Tatizo mnachanganya vitu viwili yaani mila na desturi na hicho unachokiita dini
Naomba unitofautishie kati ya Mila na desturi.
Kisha mimi nakusaidia kukupa maana ya tamko DINI. Dini ni tamko lenye asili ya Kiarabu lenye maana ya kilugha ya NJIA yaani mwenendo. Kwa maana sehemu unayopita kufikia sehemu fulani.
Dini inapokuja inawakuta watu wapo katika Mila, Desturi na ada zao (matamko haya yote matatu ni asili ya Kiarabu, na yanakaribia kwa maana ila hayana maana sawa). Dini huchukua Mila, ada au Desturi za watu ambazo ni nzuri na kuwa amri au sheria, miongoni mwa hayo huingia mavazi. Suala la mavazi kwa sifa ni sheria kumekuja mitume wengi sana na manabii wapo tunao wajua na ambao hatukutajiwa, ila wote mavazi yao yalikuwa kanzu na walikuwa wakifuga ndevu, huwezi kusema ndevu kufuga kwa mwanaume ni hiyari, wewe utakuwa hujui maana ya Dini au mwanamke kutembea kichwa wazi ni hiari.
Ina maana kama Yesu,Masihi angezaliwa Ngorongoro wote sahizi tuvae mashuka,masime viunoni huku wanawake wamejaza mzigo wa shanga shingoni
Na kichwani upara Dunia nzima.
Angezaliwa Ngorongoro asinge vaa mashuka angevaa kanzu, sababu hilo ni vazi la kisheria na la stara na mitume wote wamevaa hivyo, kama ilivyo kwenye ndevu, labda kama uwe hujajaaliwa ndevu hapo utakuwa uhusiki.
Halafu kama wewe unaipenda Dini yako mbona hujajilipua mpaka muda huu
Nani amekwambia kujilipua ni katika Dini au Dini gani inafundisha kujilipua ? Au kujilipua ni ishara ya mapenzi ya dhati ya Dini ?
Unaandika nini kijana ?
Wenzio saizi Wana baruti na mabomu mfukoni stand by kwaajili ya Allah ,we upo na Tecno yako unakuja na hoja za kipuuzi
Hapa wewe ndiyo unadhihirisha upuuzi kwa kuandika uongo na mambo usiyo yajua.
Au hutaki mabikira sabini
Haya ni malipo miongoni mwa malipo ya waja wema.
Allah atujaalie tuipate pepo yake.