Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako

Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Hakupiga ishara ya msalaba kwa vile msalaba ulikuja baada ya mateso yake pale msalabani,
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako...
Hakupiga ishara ya msalaba kwa vile msalaba ulikuja baada ya mateso yake pale msalabani,
 
Kwa hiyo Yesu ni nani?
Nafikiri ni wakati sahihi wa mimi kukuita Mjinga

Mathayo 1:1-23​

Mathayo 1:1-23 BHN​

Yesu Kristo alikuwa wa ukoo wa Daudi, wa ukoo wa Abrahamu. Hii ndiyo orodha ya ukoo wake: Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake, Yuda alimzaa Peresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari)...
 
Ukiingia ndani zaidi.

YESU ni JUA. na si Binadamu kama sisi tunavyoelewa kwa hiyo wanaomuabudu YESU wanaabudu JUA.

Kivipi? Endelea kuchimbua chimbua kuhusu JUA kiundani zaidi utaelewa. Na si vibaya kuwa na Imani yoyote ile
Unaweza pia kuabudu MWEZI na kuabudu chochote kile kama unavyofanya pale Unapoiabudu SERIKALI ambayo haujui kama ni IMANI KAMILI.
 
Ok Haya yafuatayo ni Maneno ya Yesu Mwenyewe[emoji116]

Mt 16:18​

Mt 16:18 SUV​

Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Alilijenga au alisema atalijenga?
 
Jibu ni hili
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako

Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Kwanza kabisa hebu elimika kidogo: Yesu hakuwa mkristo,tuko pamoja?

Sisi wafuasi wake ndio "wa kristo". Kwahiyo bs,Yesu aliishi na wayahudi hivyo mila na desturi kawaida sana aliishi nao, alikula nao.Lkn Yesu alikuja na habari njema ambazo pia zingine zilikuwa nje ya doctrine ya wayahudi.Hiyo habari njema, NENO alilokuja nalo ndilo akatuachia.Tukawa wakristo,yaani wafuasi wake Kristo.Kwahiyo sisi tunafuata maelekezo na mafundisho ya Kristo,yamkini kuna maeneo meengi yanafanana na kiyahudi lkn si yote.

Kupiga ishara ya msalaba: Du! Ulitaka apige ishara ya msalaba ktk maisha yake hapa duniani??? Haya bhana.Ni hivi,msalaba ulitumika kumsulubisha Yesu hd akafa, akafufuka lkn nk nk nyingi...Sasa huu kwetu ni ishara ya ushindi.Imani yetu kwa sehemu kubwa sana ina flow kutokea kwenye tukio hilo la msalaba.Ni tendo la imani kwa wafuasi wa kristo.Ni symbol moja muhimu saaana ktk maisha...acha nisikupe ubuyu sana hebu itumie utaleta mrejesho.

Kusujudu: Tunasujudu pia at times.Na mara nyingi katika maombi binafsi ukiwa chumbani unasujudu kabisa tu.Na si chumbani tu hata kwingineko.

Imekuwa vizuri umeuliza.
 
Usiwe unaongea vitu usivyovijua,uislam umehimiza wapi kulipa kisasi!?...

1648630527936.png
 
Mkuu nakuheshimu,Ila nakuonea huruma jinsi ulivyo mtupu kichwani.

Tatizo mnachanganya vitu viwili yaani mila na desturi na hicho unachokiita dini

Ina maana kama Yesu,Masihi angezaliwa Ngorongoro wote sahizi tuvae mashuka,masime viunoni huku wanawake wamejaza mzigo wa shanga shingoni
Na kichwani upara Dunia nzima.

Halafu kama wewe unaipenda Dini yako mbona hujajilipua mpaka muda huu

Wenzio saizi Wana baruti na mabomu mfukoni stand by kwaajili ya Allah ,we upo na Tecno yako unakuja na hoja za kipuuzi

Au hutaki mabikira sabini[emoji23][emoji23][emoji23]
Una miak mingap ,maan akili yako inaonesha ndio unakaribia kuvunja ungo
 
Wachungaji gani wanahubiri Yesu atarudi kavaa suti.
Shaikh gani anamhubiri Yesu? Anamhubiri toka kitabu kipi? Maana Yesu hayupo kwenye Quran ima hadith!
Unauhakika yesu hajatajwa kwenye Qur'an ,manabii wote walihubir uislamu Yan kumuabudu Allah pekee pasina kumshirkisha na yoyote ,Allah anasema katika Qur'an " hakika mfano wa yesu mbele ya Allah ni Kama adamu ,ameumbwa Kwa udongo kisha akaambiwa kuwa na akawa " tofaut na wanaojiita wakristo ambao wanampiga vita na kumzushia uongo mwing ambao hata ukiwauliza Kwa mujib wa kitabu Chao wameyatoa wap hayo hutopata majibu
 
Ukristo ni imani inayfundisha kumpenda Jirani na adui. Yesu hapiganiwi, Yeye ni Mfalme wa wafalme na Mungu wa miungu yote. Hahitaji msaada wa mwanadamu katika maamuzi au vita zake. Yeye ndiye hutupigania.

Ametufundisha kumpenda mwovu kabisa kwa sababu ana uwezo wa kumbadilisha kuwa mtu mwema. Ametufundisha kuwapenda watu wote na kuwaeleza namna anawapenda watu na kile aliwafanyia msalabani ili wafikapo mwisho wa maisha yao, wakafurahie maisha pamoja naye. Ukristo ni imani inayoshinda kifo badala ya kukitukuza. Kifo kwenye ukristo ni adui na hana nguvu juu ya wakristo.

Ukiwa karibu na mkristo radical, anafuata Biblia do-to-dot, uko salama kupita maelezo!
So cool down and enjoy the life God have given you!
Unaweza nipa andiko lolote kweny Bible yenu yesu yy mwenyewe akijiita mim ndie mungu ,nipe Hilo andiko yey akijiita sio paulo
 
alicho fanya Yesu, wayahudi bado wanakifanya mpaka leo kwenye masinagogi
 
Mleta mada dunia imebadilika kwa hiyo kama Yesu hakuvaa boksa na sisi tusivae.
Kama Yesu aliswali/kusali kwenye makanisa yasiyo na vyombo vya muziki kama microphone na sisi tufanye hivyo hivyo.
Kama Yesu alipanda Punda na sisi tusipande magari tutumie Punda.?
Kama Yesu alilalia mkeka au jamvi na sisi leo tuyaache magodoro yetu tutafute majamvi?
Kama Yesu alizaliwa kwenye kibanda cha kulishia ng'ombe na sisi leo wake/dada zetu wakihisi uchungu tuwapeleke wakajifungulie kwenye mabanda ya mifugo badala ya hospitali?
Wakati mwingine uliza maswali yenye kuonesha kuwa umekomaa na kuota mav$zi sio unauliza maswali ya chekechea.
 
Alilijenga au alisema atalijenga?
Kwamba hoja yako hapo ni nini?
Mimi nimejibu Hiki👇
Sasa nani alianzisha makanisa na huu utaratibu wa kusali?
Kama tatizo kwako lipo kwenye nyakati katika sentensi hiyo majibu ni haya.

Kristo Yesu amemuandaa Petro huku akijua ndiye atakayekuja kuwa kiongozi wa wenzie pindi yeye atakapoondoka. (Future)
Now Fast foward Mpaka siku ya Pentekoste ambapo kusanyiko la kwanza la Wakristo lilishukiwa na Roho Mtakatifu
https://www.bible.com/sw/bible/74/ACT.2.BHN
https://www.bible.com/reading-plans
https://www.bible.com/sw/videos
Matendo 2:1-25

Matendo 2:1-25 BHN​

Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja. Ghafla, sauti ikasikika kutoka angani; sauti iliyokuwa kama ya upepo mkali, ikaijaza ile nyumba yote walimokuwa wamekaa. Kisha, vikatokea vitu vilivyoonekana kama ndimi za moto, vikagawanyika na kutua juu ya kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema lugha mbalimbali kadiri Roho alivyowawezesha........

Lakini Petro alisimama pamoja na wale kumi na mmoja akaanza kuwahutubia watu kwa sauti kubwa:

Twende Mbele zaidi kama ulitegemea Yesu ashike nyundo basi umekosea

Matendo 20:28​

Matendo 20:28 BHN​

Jihadharini wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo Roho Mtakatifu amewaweka nyinyi muwe walezi wake. Lichungeni kanisa la Mungu ambalo amejipatia kwa damu ya Mwanae.

Now kanisa Ni nini?

Waefeso 1:22-23​

Waefeso 1:22-23 BHN​

Mungu ameweka vitu vyote chini ya miguu yake, akamkabidhi kwa kanisa akiwa mkuu wa vitu vyote. Kanisa ni mwili wa Kristo, na ukamilifu wake yeye anayekamilisha vitu vyote kila mahali

Mwisho nimalizie na hili andiko

Waefeso 5:23​

Waefeso 5:23 SRUV​

Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.

Yesu Kristo Na Akubariki.
 
Kwamba hoja yako hapo ni nini?
Mimi nimejibu Hiki[emoji116]

Swali dogo tuu maneno meeengii

Magufuli alisema nani atakuja kujenga hya mabarabara, na mngne ikiwa leo hii nitaondoka? sasa hpo tunaona Magufuli alijenga na yanaendelezwa yale yalojengwa

hya tuoneshe hta msingi alochimba yesu wa kulianzisha kanisa
 
Endelea kuwapa vitasa mkuu atae jaliwa ataifuata haki
 
Back
Top Bottom