Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Kanzu ni kazu tu tu ndugu yangu. Wakristo hatujapangiwa vazi la kuvaa. Amri iliyopo ni kuvaa kwa staha, mavazi yatakayoleta utukufu kwa Mungu na si mavazi ya aibu. Ndio maana Maasai na shuka lake, Mwarabu na kanzu yake, Mfaransa na suti yake na Mbarabaig na Kaniki yake hawana tofauti kanisani. Alimradi ni nguo ya heshima, mkristo habanwi, iwe ni Kanzu, suti au hata vazi la asili!
Na kimini kanisani.
 
Nimekujibu kwa namna hiyo kwa sababu yupo pia aliyetangulia kukiomba kufanya hivyo...Hapa utakua unafanya spin off...wala hujazi servers za Jf.

Ni busara sana kujikita kwenye jambo moja.

Sio kwamba sitakujibu swali hilo ila ingekua vyema ukaliweka katika eneo lingine spesheli kwa mada hiyo.
Bora ninyamaze tuu
 
Nimekujibu kwa namna hiyo kwa sababu yupo pia aliyetangulia kukuomba kufanya hivyo...Hapa utakua unafanya spin off...wala hujazi servers za Jf.

Ni busara sana kujikita kwenye jambo moja.

Sio kwamba sitakujibu swali hilo ila ingekua vyema ukaliweka katika eneo lingine spesheli kwa mada hiyo.
Nimekupa Sababu👆
Ulichojibu👇
Bora ninyamaze tuu
Mtu smart angepaswa kufanya hivi👇
Usingereply...
Hapa umefunua uwezo wako wa Kufikiria (Nafikiri unakosa uhusiano mzuri kati ya Ubongo na Fikra zako )👇
Ah kijana embu jaribu kunyamaza mna huna point ya mashiko
Nakushauri tu
Kafungue uzi kuhusu hiyo mada NiTag Nakuja kukujibia huko usipandishe mada juu ya mada.
 
Hili swali limenifikirisha sana nataka kujua siku atakapoludi,ataludi katika stairi ipi?amevaa suti kama wachungaji wanavyomuhubiri au amevaa kanzu kama Mashehee
Kama atarudi leo atavaa nguo ambayo kwake itamfaa
 
Nimekujibu kwa namna hiyo kwa sababu yupo pia aliyetangulia kukiomba kufanya hivyo...Hapa utakua unafanya spin off...wala hujazi servers za Jf.

Ni busara sana kujikita kwenye jambo moja.

Sio kwamba sitakujibu swali hilo ila ingekua vyema ukaliweka katika eneo lingine spesheli kwa mada hiyo.

makanisa hayakuepo,aliabudu ndani ya sinagogi,,Jewish religion
Sasa nani alianzisha makanisa na huu utaratibu wa kusali?
 
Vazi halina connection na kuja kwa yesu!! Umedanganywa tu weye!! unapomtaja Yesu pia uwe specific ni yesu yupi una maanisha make wako wengi!!........huyo yesu mzungu unaemjua weye wa kwako atakuja na kanzu! ni sawa kwani shida iko wapi?? manake uko sahihi....

Yesu wangu hakuhusu weye!! muache ale Bata Mbinguni kwa Baba! ...... Mbona hatumsemi sie wa kwenu huyo lkn wa kwetu mnalazimisha kila siku eti mnataka kumjua mweee!
Yupi wa kwenye hizi picha na video mwenye sura ya mzungu,au wa kwenye vitabu vya mwenyezi Mungu ambaye hakuna anayeijua sura yake wala picha?
 
Yupi wa kwenye hizi picha na video mwenye sura ya mzungu,au wa kwenye vitabu vya mwenyezi Mungu ambaye hakuna anayeijua sura yake wala picha?
Hebu nyoosha hoja kisomi bana!! usi quote hovyo yasiyoeleweka, ....au najibishana na mtoto? jua kabisa vitabu vya yesu wako ivo havituhusu sisi!! sie wateule vya kwetu! Yesu wetu yuko wazi kabisaaaaa!!....hajifichi!! km hujui sura yake huyo ni wewe!!

sie twajua fika rangi yake, sura yake uraia wake, u bin wake lkn sasa hilo ni somo jengine, mahali pangine na kwa wakati mwangine kwa marefu na mapana yake !
 
Nikueleweshe kidogo uarabuni na Israel ni jangwa lenye mchanga mwingi sehemu kubwa joto kali ,vumbi jingi

Hivyo mavazi stahiki kwa halina hewa ile ni kanzu sababu haibani hivyo.kuwezesha unafuu wa joto

Zile tinted wanavaa wanawake au nikabu ni kwa ajili ya kujistiri vumbi likitimka lisiwaingie machoni ndio maana hata wanaume wa jangwani huvaa vilemba kujiepusha vumbi kichwani na machoni
Lakini unakuta eneo ambalo hakuna vumbi mwanamke katandika tinted au Nikabu hata macho hayaonekani anasema mwanamke wa kiislamu ndio anatakiwa kuvaa hivyo!!

Vazi lingine ni kobazi sababu mchanga mwingi unaingia kwenye nyayo.Ukiingia nyumba ya mtu unaacha makombazi nje kwa kuwa nyayo zake sababu zimejaa mivumbi mtu anatakiwa kutawadha miguu kabla kuingia ndani ya nyumba yeyote au msikiti

Mavazi haya yanayoitwa ya kiislamu na kutawadha sio hasa takwa la kidini ni takwa la hali ya hewa huko uislamu uliotoka ila ukaingizwa kwenye uislamu

Lakini ukweli hata wakristo waishie maeneo ya jangwa huvaa hivyo na hutawadha kabla kuingia majumbani

Mfano hata kwenye Biblia kulikuwa na magudulia ya kutawadhia miguu kabla mtu kuingia ukumbini kwenye harusi ya Kana ili watu waingie na mivumbi na michango miguuni ukumbini

Yohane 2:1-25 BHN​

Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, naye Yesu alikuwa amealikwa harusini pamoja na wanafunzi wake. Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.” Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.” Hapo palikuwa na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua kiasi cha madebe mawili au matatu. Ilikuwa imewekwa hapo kufuatana na desturi ya Kiyahudi ya kutawadha. Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Mkuu wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka kuwa divai. Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu akamwita bwana arusi, akamwambia, “Kila mtu huandaa divai nzuri kwanza hata wakisha tosheka huandaa ile hafifu. Lakini wewe umeiweka divai nzuri mpaka sasa!” Yesu alifanya ishara hii ya kwanza huko Kana, Galilaya, akaonesha utukufu wake; nao wanafunzi wake wakamwamini. Baada ya hayo, Yesu alishuka pamoja na mama yake, ndugu zake na wanafunzi wake, wakaenda Kafarnaumu ambako walikaa kwa siku chache. Sikukuu ya Wayahudi ya Pasaka ilikuwa imekaribia; hivyo Yesu akaenda juu Yerusalemu. Basi, akawakuta mle hekaluni watu wakiuza ng'ombe, kondoo na njiwa, na wavunja fedha walikuwa wamekaa kwenye meza zao. Akatengeneza mjeledi wa kamba, akawafukuza wote nje ya hekalu pamoja na kondoo na ng'ombe wao, akazitawanya sarafu za wenye kuvunja fedha na kupindua meza zao. Akawaambia wale waliokuwa wanauza njiwa, “Ondoeni vitu hivi hapa. Msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa soko!” Wanafunzi wake wakakumbuka kwamba Maandiko yasema: “Upendo wangu kwa nyumba yako waniua.” Baadhi ya Wayahudi wakamwuliza Yesu, “Utafanya mwujiza gani kuonesha kwamba unayo haki kufanya mambo haya?” Yesu akawaambia, “Vunjeni hekalu hili, nami nitalijenga kwa siku tatu.” Hapo Wayahudi wakasema, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arubaini na sita. Je, wewe utalijenga kwa siku tatu?” Lakini Yesu alikuwa anaongea juu ya hekalu ambalo ni mwili wake. Basi, alipofufuliwa kutoka kwa wafu, wanafunzi wake walikumbuka kwamba alikuwa amesema hayo, wakayaamini Maandiko Matakatifu na yale maneno ambayo Yesu alikuwa amesema. Yesu alipokuwa Yerusalemu kwa sikukuu ya Pasaka, watu wengi walimwamini walipoona ishara alizofanya. Lakini Yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wote. Hakuhitaji kuambiwa chochote juu ya watu, maana aliyajua barabara mambo yote yaliyomo 7mioyoni mwao.
pole sana umejibu kitu ambacho hukijua,heri ungeomba kufundishwa;
"Ewee nabii waambie wake zako na biti zako,na wake waaminio,wateremshe shungi zao.Kufanya hivyo kutapeleka wao kutambulikana(kwamba ni wanawake waungwana) hawatakelwa ( na watu waovu) na Allah ni mwingi wa kusamehe (tena) mwenye huruma
 
Hebu nyoosha hoja kisomi bana!! usi quote hovyo yasiyoeleweka, ....au najibishana na mtoto? jua kabisa vitabu vya yesu wako ivo havituhusu sisi!! sie wateule vya kwetu! Yesu wetu yuko wazi kabisaaaaa!!....hajifichi!! km hujui sura yake huyo ni wewe!!

sie twajua fika rangi yake, sura yake uraia wake, u bin wake lkn sasa hilo ni somo jengine, mahali pangine na kwa wakati mwangine kwa marefu na mapana yake !
Pole sanaa ndugu yangu,nilijua labda naelekezana na mtu anaeitaji kuelewa,ukiitaji kujua mtafuta mtu aliyechora picha ya yesu na historia yake
 
Ok nafikiri tunapoteza mda hapa... Twende mbele..Kwa sababu naona ubishi usio na mwisho. Acha nikupe jibu straight Aliyetangulia ndiye msema kweli.

Sasa rudi hapa.....


Kisha unijibu sasa Huyo aliyekuja miaka 600AD baadae anaweza vipi kuyasemea matukio ya nyuma ingali hakuwapo.

Nahitaji hicho kipimo na kama akitokea yeyote akakitumia atapata majibu sawa.

Kwa upande wangu nitajikita kumuelezea Yesu Kristo wa Nazareti kama Historical Figure...Si unataka na evidence nitakupatia pia.
Unajua nachokushangaa mkuu umepania sana halafu mie hata sipo huko kwenye hiyo ligi, mie nimekuuliza swali vizuri tu. Ok ushajibu kwamba ukitangulia kusema jambo ndio inahesabika kuwa umesema kweli kwa sababu tu umetangulia kusema.

Mie nimemaliza.
 
Ukweli ni nini?
Kipimo cha Ukweli ni Nini?
Tutaamini vipi hiki ni kipimo sahihi cha ukweli?

Ok tuweke Kihistoria zaidi...anayewwza kutoa Fact ni Shuhuda aliyeshuhudia matukio husika.
Kama chanzo cha habari hakikuwepo eneo husika wala kukutana na wahusika tena kwa wakati husika huo unakua Udaku/Uzushi yaani taarifa za kusikia zisizofaa kuaminika

Now wapo waandishi wameandika habari kwa wakati sahihi na baadhi wakiwa wahusika kwa namna mbalimbali ndani ya 1-90AD alafu anatokea mtu asiyejua kusoma wala kuandika mwaka 600AD anasema yale hayakuwa ya kweli...

Kumuamini mtu huyo ni Lazima wewe pia utumie akili za mtu asiyejua kusoma wala kuandika..Kwa kifupi uwe MJINGA.
Ndani ya Quruani kuna Habari zote zilizopo ndani ya Biblia tena kiufasaa, sasa sijui uongo gani wewe unaousema?
 
Pole sanaa ndugu yangu,nilijua labda naelekezana na mtu anaeitaji kuelewa,ukiitaji kujua mtafuta mtu aliyechora picha ya yesu na historia yake
''Pole sana'' ni hoja dhaifu Mkuu ! siyo lengo la Mjadala!.......Ufahamu wangu unajitosheleza! km yesu wenu alichorwa! siyo dhambi Mko sahihi tu?? hata smaki naweza chorwa kwa sura yangu halisi! ni sawa!...na kamwe sitapingana na hilo !

Sasa mchoraji wenu!! alimchora yesu wenu, kwa sura yake halisi mnayoijua !! mko sahihi, na wala hamtapelekwa Polisi! ni haki yenu ya msingi wala usiwe na wasiwasi! na kunipa pole nyiiingiii! asa nimtafute mtu aliye chora yesu wenu ili iweje labda!!.....nimuabudu au??
 
Ndani ya Quruani kuna Habari zote zilizopo ndani ya Biblia tena kiufasaa, sasa sijui uongo gani wewe unaousema?
km ni kweli waislamu wote msiwe na wasiwasi mbingu ina wasubili!!
 
Back
Top Bottom