YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uko sahihiIsa bin Mariam na Yesu hawawezi kuwa mtu mmoja, maelezo yao ni tofauti sana hivyo watakuwa ni watu wawili tofauti kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihiIsa bin Mariam na Yesu hawawezi kuwa mtu mmoja, maelezo yao ni tofauti sana hivyo watakuwa ni watu wawili tofauti kabisa.
Hakupiga ishara ya msalaba kwa vile msalaba ulikuja baada ya mateso yake pale msalabani,Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako
Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Hakupiga ishara ya msalaba kwa vile msalaba ulikuja baada ya mateso yake pale msalabani,Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako...
Sasa ni nani aliyeanzisha hiyo ishara ya msalaba?Hakupiga ishara ya msalaba kwa vile msalaba ulikuja baada ya mateso yake pale msalabani,
Nafikiri ni wakati sahihi wa mimi kukuita Mjinga
Mathayo 1:1-23
Mathayo 1:1-23 BHN
Yesu Kristo alikuwa wa ukoo wa Daudi, wa ukoo wa Abrahamu. Hii ndiyo orodha ya ukoo wake: Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake, Yuda alimzaa Peresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari)...
Kabisa!!!🙄🙄uchokozi tuuu.
Alilijenga au alisema atalijenga?Ok Haya yafuatayo ni Maneno ya Yesu Mwenyewe[emoji116]
Mt 16:18
Mt 16:18 SUV
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Kwanza kabisa hebu elimika kidogo: Yesu hakuwa mkristo,tuko pamoja?Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako
Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga ishara ya msalaba au alisujudu,aliimba kwaya wakati wa kusali au alikaa kimya
Usiwe unaongea vitu usivyovijua,uislam umehimiza wapi kulipa kisasi!?...
Una miak mingap ,maan akili yako inaonesha ndio unakaribia kuvunja ungoMkuu nakuheshimu,Ila nakuonea huruma jinsi ulivyo mtupu kichwani.
Tatizo mnachanganya vitu viwili yaani mila na desturi na hicho unachokiita dini
Ina maana kama Yesu,Masihi angezaliwa Ngorongoro wote sahizi tuvae mashuka,masime viunoni huku wanawake wamejaza mzigo wa shanga shingoni
Na kichwani upara Dunia nzima.
Halafu kama wewe unaipenda Dini yako mbona hujajilipua mpaka muda huu
Wenzio saizi Wana baruti na mabomu mfukoni stand by kwaajili ya Allah ,we upo na Tecno yako unakuja na hoja za kipuuzi
Au hutaki mabikira sabini[emoji23][emoji23][emoji23]
Unauhakika yesu hajatajwa kwenye Qur'an ,manabii wote walihubir uislamu Yan kumuabudu Allah pekee pasina kumshirkisha na yoyote ,Allah anasema katika Qur'an " hakika mfano wa yesu mbele ya Allah ni Kama adamu ,ameumbwa Kwa udongo kisha akaambiwa kuwa na akawa " tofaut na wanaojiita wakristo ambao wanampiga vita na kumzushia uongo mwing ambao hata ukiwauliza Kwa mujib wa kitabu Chao wameyatoa wap hayo hutopata majibuWachungaji gani wanahubiri Yesu atarudi kavaa suti.
Shaikh gani anamhubiri Yesu? Anamhubiri toka kitabu kipi? Maana Yesu hayupo kwenye Quran ima hadith!
Unaweza nipa andiko lolote kweny Bible yenu yesu yy mwenyewe akijiita mim ndie mungu ,nipe Hilo andiko yey akijiita sio pauloUkristo ni imani inayfundisha kumpenda Jirani na adui. Yesu hapiganiwi, Yeye ni Mfalme wa wafalme na Mungu wa miungu yote. Hahitaji msaada wa mwanadamu katika maamuzi au vita zake. Yeye ndiye hutupigania.
Ametufundisha kumpenda mwovu kabisa kwa sababu ana uwezo wa kumbadilisha kuwa mtu mwema. Ametufundisha kuwapenda watu wote na kuwaeleza namna anawapenda watu na kile aliwafanyia msalabani ili wafikapo mwisho wa maisha yao, wakafurahie maisha pamoja naye. Ukristo ni imani inayoshinda kifo badala ya kukitukuza. Kifo kwenye ukristo ni adui na hana nguvu juu ya wakristo.
Ukiwa karibu na mkristo radical, anafuata Biblia do-to-dot, uko salama kupita maelezo!
So cool down and enjoy the life God have given you!
Una tatizo la Akili .Kwa hiyo Yesu ni nani?
Kwamba hoja yako hapo ni nini?Alilijenga au alisema atalijenga?
Kama tatizo kwako lipo kwenye nyakati katika sentensi hiyo majibu ni haya.Sasa nani alianzisha makanisa na huu utaratibu wa kusali?
Swali dogo tuu maneno meeengiiKwamba hoja yako hapo ni nini?
Mimi nimejibu Hiki[emoji116]
Kama tatizo kwako lipo kwenye nyakati katika sentensi hiyo majibu ni haya.
Kristo Yesu amemuandaa Petro huku akijua ndiye atakayekuja kuwa kiongozi wa wenzie pindi yeye atakapoondoka. (Future)
Now Fast foward Mpaka siku ya Pentekoste ambapo kusanyiko la kwanza la Wakristo lilishukiwa na Roho Mtakatifu
https://www.bible.com/sw/bible/74/ACT.2.BHN
https://www.bible.com/reading-plans
https://www.bible.com/sw/videos
Matendo 2:1-25
Matendo 2:1-25 BHN
Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja. Ghafla, sauti ikasikika kutoka angani; sauti iliyokuwa kama ya upepo mkali, ikaijaza ile nyumba yote walimokuwa wamekaa. Kisha, vikatokea vitu vilivyoonekana kama ndimi za moto, vikagawanyika na kutua juu ya kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema lugha mbalimbali kadiri Roho alivyowawezesha........
Lakini Petro alisimama pamoja na wale kumi na mmoja akaanza kuwahutubia watu kwa sauti kubwa:
Twende Mbele zaidi kama ulitegemea Yesu ashike nyundo basi umekosea
Matendo 20:28
Matendo 20:28 BHN
Jihadharini wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo Roho Mtakatifu amewaweka nyinyi muwe walezi wake. Lichungeni kanisa la Mungu ambalo amejipatia kwa damu ya Mwanae.
Now kanisa Ni nini?
Waefeso 1:22-23
Waefeso 1:22-23 BHN
Mungu ameweka vitu vyote chini ya miguu yake, akamkabidhi kwa kanisa akiwa mkuu wa vitu vyote. Kanisa ni mwili wa Kristo, na ukamilifu wake yeye anayekamilisha vitu vyote kila mahali
Mwisho nimalizie na hili andiko
Waefeso 5:23
Waefeso 5:23 SRUV
Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
Yesu Kristo Na Akubariki.
Endelea kuwapa vitasa mkuu atae jaliwa ataifuata hakiSwali dogo tuu maneno meeengii
Magufuli alisema nani atakuja kujenga hya mabarabara, na mngne ikiwa leo hii nitaondoka? sasa hpo tunaona Magufuli alijenga na yanaendelezwa yale yalojengwa
hya tuoneshe hta msingi alochimba yesu wa kulianzisha kanisa