Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Wengi wanaochagiza mjadala kuhusu bandar ni wale ambao mgao uliwachenga kwa hiyo wanajibrand angalau walambishwe asal lkn ishu ya bandar haina kurud nyuma tunachopaswa kufanya ni kujipanga na yajayoPambana kwanza ujue bandari inauzwa ama lah, ya watu baadae.
Of course nimeona mafunzo yao wao wanaita boot camps ni Noma na ma instructors wao wanafurahisha kinoma na maneno ya kuudhi.Kimafunzo marine 🔥🔥🔥🔥
Hata kwenye idad marine ni wengi kuliko armyKimafunzo marine [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
UONGOCorps za Marekani ni sawa na Wagner ya Putin. Ni makundi ya private serikali ya Marekani inayatumia ikizidiwa vitani! Be informed.
Oya na wewe toka hapa na umbea wenu, nendeni huko jukwaa la siasa mkatapike maharage yenuWengi wanaochagiza mjadala kuhusu bandar ni wale ambao mgao uliwachenga kwa hiyo wanajibrand angalau walambishwe asal lkn ishu ya bandar haina kurud nyuma tunachopaswa kufanya ni kujipanga na yajayo
Dogo uzi wako ulikua umekufa kibudu hakukuwa na mchangiaj Kamanda wa zaman wa marine nimeingilia kati unaona wadau wanavyotiririka???Oya na wewe toka hapa na umbea wenu, nendeni huko jukwaa la siasa mkatapike maharage yenu
Sawa nakubali lakini sio sababu za kuharibu mjadala na mambo ya bandari sio sehemu yake. Wewe shusha nondo zako za mambo ya medani then subiri criticism kunogesha mjadala.Dogo uzi wako ulikua umekufa kibudu hakukuwa na mchangiaj Kamanda wa zaman wa marine nimeingilia kati unaona wadau wanavyotiririka???
Kwa hiyo tulia
"USASC"United States army signal corps wanadili na mawasiliano ya vikos vyote vya jeshiAnga zaidi na mawasiliano yao
Nimenote hicho kitu yaani inaonekana kuwa marine wewe ni complete packageMarine ndio jeshi la marekani lililo front kwenye War zone.
Kwa kifupi marine ndio wanajeshi wanaopigana kwenye hali zote.
Ukiwa marekani ukasema wewe ni marine veteran kuna heshima flani hivi unapewa na jamii.
Ninae ndugu yangu alizamia marekani then akajiunga na hao marine,alipelekwa Kuwait,sahivi kaniambia yuko Edwards Air force base huko calfornia.
Ktk mijadala mikubwa lazima kutokee mijadala midogomidogoSawa nakubali lakini sio sababu za kuharibu mjadala na mambo ya bandari sio sehemu yake. Wewe shusha nondo zako za mambo ya medani then subiri criticism kunogesha mjadala.
Marine anafanya nini frontline?Marine ndio jeshi la marekani lililo front kwenye War zone.
Kwa kifupi marine ndio wanajeshi wanaopigana kwenye hali zote.
Ukiwa marekani ukasema wewe ni marine veteran kuna heshima flani hivi unapewa na jamii.
Ninae ndugu yangu alizamia marekani then akajiunga na hao marine,alipelekwa Kuwait,sahivi kaniambia yuko Edwards Air force base huko calfornia.
SahihMarine ndio jeshi la marekani lililo front kwenye War zone.
Kwa kifupi marine ndio wanajeshi wanaopigana kwenye hali zote.
Ukiwa marekani ukasema wewe ni marine veteran kuna heshima flani hivi unapewa na jamii.
Ninae ndugu yangu alizamia marekani then akajiunga na hao marine,alipelekwa Kuwait,sahivi kaniambia yuko Edwards Air force base huko calfornia.
Kwa hiyo ndani ya marine kuna mgawanyo wa regiment kama tank regiment.Sahih
Nilihudumu Iraq na afghaaanistan km marine
Ahaa sawa"USASC"United States army signal corps wanadili na mawasiliano ya vikos vyote vya jeshi
Nimekumbuka filamu ya full metal jacketOf course nimeona mafunzo yao wao wanaita boot camps ni Noma na ma instructors wao wanafurahisha kinoma na maneno ya kuudhi.
Vipi kuhusu navyIna maana hujui km kuna vifaru vinaelea ndan ya maji
Imefanya nin hiyo navy???Vipi kuhusu navy