Naomba kuuliza tofauti ya Army Corps na Marine Corps ndani ya jeshi la Marekani

Pambana kwanza ujue bandari inauzwa ama lah, ya watu baadae.
Wengi wanaochagiza mjadala kuhusu bandar ni wale ambao mgao uliwachenga kwa hiyo wanajibrand angalau walambishwe asal lkn ishu ya bandar haina kurud nyuma tunachopaswa kufanya ni kujipanga na yajayo
 
Oya na wewe toka hapa na umbea wenu, nendeni huko jukwaa la siasa mkatapike maharage yenu
 
The largest and oldest service in the U.S. military, the Army provides the ground forces that protect the United States. A component of the Department of the Navy, the Marine Corps maintains amphibious and ground units for contingency and combat operations.
 
Marine ndio jeshi la marekani lililo front kwenye War zone.
Kwa kifupi marine ndio wanajeshi wanaopigana kwenye hali zote.
Ukiwa marekani ukasema wewe ni marine veteran kuna heshima flani hivi unapewa na jamii.
Ninae ndugu yangu alizamia marekani then akajiunga na hao marine,alipelekwa Kuwait,sahivi kaniambia yuko Edwards Air force base huko calfornia.
 
Dogo uzi wako ulikua umekufa kibudu hakukuwa na mchangiaj Kamanda wa zaman wa marine nimeingilia kati unaona wadau wanavyotiririka???

Kwa hiyo tulia
Sawa nakubali lakini sio sababu za kuharibu mjadala na mambo ya bandari sio sehemu yake. Wewe shusha nondo zako za mambo ya medani then subiri criticism kunogesha mjadala.
 
Marine ndio jeshi la marekani lililo front kwenye War zone.
Kwa kifupi marine ndio wanajeshi wanaopigana kwenye hali zote.
Ukiwa marekani ukasema wewe ni marine veteran kuna heshima flani hivi unapewa na jamii.
Ninae ndugu yangu alizamia marekani then akajiunga na hao marine,alipelekwa Kuwait,sahivi kaniambia yuko Edwards Air force base huko calfornia.
Nimenote hicho kitu yaani inaonekana kuwa marine wewe ni complete package
 
Sawa nakubali lakini sio sababu za kuharibu mjadala na mambo ya bandari sio sehemu yake. Wewe shusha nondo zako za mambo ya medani then subiri criticism kunogesha mjadala.
Ktk mijadala mikubwa lazima kutokee mijadala midogomidogo
 
Marine ndio jeshi la marekani lililo front kwenye War zone.
Kwa kifupi marine ndio wanajeshi wanaopigana kwenye hali zote.
Ukiwa marekani ukasema wewe ni marine veteran kuna heshima flani hivi unapewa na jamii.
Ninae ndugu yangu alizamia marekani then akajiunga na hao marine,alipelekwa Kuwait,sahivi kaniambia yuko Edwards Air force base huko calfornia.
Marine anafanya nini frontline?
 
Sahih

Nilihudumu Iraq na afghaaanistan km marine riffle squad nikiwa chini ya sajent McHenry
 
Back
Top Bottom