Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Tuliza ubongo dogoNimejibu mapigo baada ya kushindwa kuvumilia
Si kila unayetofautiana nae kwa namna yoyote matusi ndio suluhu
Unapaswa kuusoma mchezo na kuumasta ili uende km unavyotaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza ubongo dogoNimejibu mapigo baada ya kushindwa kuvumilia
Fallujah ilikua kazi ya blackwater baada ya wafanyakazi wao wanne waliokuwa wanasafirisha chakula kushambuliwaWanatoka majeshi mawili tofauti kule Marekani.
1) Navy-Marine Corps
Ni foot soldiers wa marine ambao wanakudunda kuanzia majini mpaka nchi kavu.
Ni proud soldier na wanajiona Bora kuliko Army Corps na kuliko Coastal Guards.
Movie nyingi zimewaelezea hawa jamaa nadhani hata battle ya Fallujah Wana walikichafua.
kule Amerika Navy ni full package yaani Wana foot soldier, Air force Yao na Marine Seal ndio makomando wao.
Wazee wa Aircraft Carrier
2) Army- Army Corps
Ni foot soldier wa Army na ndio branch kongwe zaidi kwenye historia ya Marekani
Upo sahihi, Asante kwa kurekebishaFallujah ilikua kazi ya blackwater baada ya wafanyakazi wao wanne waliokuwa wanasafirisha chakula kushambuliwa
Navy ndo branch ya wanamaji wa USImefanya nin hiyo navy???
Lkn hiyo haimaanish opereshen zote za majin wanashirik navy tuNavy ndo branch ya wanamaji wa US
Zipo comics zinaonesha kuwa marine corps niwatukutu sana kuliko majeshi yote ya marekaniWanatoka majeshi mawili tofauti kule Marekani.
1) Navy-Marine Corps
Ni foot soldiers wa marine ambao wanakudunda kuanzia majini mpaka nchi kavu.
Ni proud soldier na wanajiona Bora kuliko Army Corps na kuliko Coastal Guards.
Movie nyingi zimewaelezea hawa jamaa nadhani hata battle ya Fallujah Wana walikichafua.
kule Amerika Navy ni full package yaani Wana foot soldier, Air force Yao na Marine Seal ndio makomando wao.
Wazee wa Aircraft Carrier
2) Army- Army Corps
Ni foot soldier wa Army na ndio branch kongwe zaidi kwenye historia ya Marekani
Upo sahihZipo comics zinaonesha kuwa marine corps niwatukutu sana kuliko majeshi yote ya marekani
Hivi na Baghdad mliichukua nyie?Upo sahih
Tulikua wakorof mno kipind hicho
Huyu mwamba si alikuwa Navy SEAL, au mimi ndo ninachanganya ma-file?Jocco willink
Corps za Marekani ni sawa na Wagner ya Putin. Ni makundi ya private serikali ya Marekani inayatumia ikizidiwa vitani! Be informed.
Kwa wale wadau wa mambo ya medani wanijuze kuhusu hivi vitengo ndani ya jeshi la marekani vina tofauti gani maana kwa ufupi nimeona hata drill instructors wao wakiwa na personalities tofauti.
Naomba kuwasilisha kwa wapenzi wa mambo ya jeshi kwenu
Huyu mwamba si alikuwa Navy SEAL, au mimi ndo ninachanganya ma-file?
Wapo vizuri kwenye PR mkuuZipo comics zinaonesha kuwa marine corps niwatukutu sana kuliko majeshi yote ya marekani
Yap ndio yeye.Huyu mwamba si alikuwa Navy SEAL, au mimi ndo ninachanganya ma-file?
Huu ndiyo ufafanuzi murua kabisa jibu ndilo hili.Wanatoka majeshi mawili tofauti kule Marekani.
1) Navy-Marine Corps
Ni foot soldiers wa marine ambao wanakudunda kuanzia majini mpaka nchi kavu.
Ni proud soldier na wanajiona Bora kuliko Army Corps na kuliko Coastal Guards.
Movie nyingi zimewaelezea hawa jamaa nadhani hata battle ya Fallujah Wana walikichafua.
kule Amerika Navy ni full package yaani Wana foot soldier, Air force Yao na Marine Seal ndio makomando wao.
Wazee wa Aircraft Carrier
2) Army- Army Corps
Ni foot soldier wa Army na ndio branch kongwe zaidi kwenye historia ya Marekani
Army: The Army is the oldest of the branches, followed closely by the Navy and the Marines. It is also the largest of the branches. The main role of the Army is to conduct land-based military operations, but it also provides manpower for humanitarian missions (e.g., building schools in war-torn regions and responding to Ebola in Africa). The Army uses many armored and weapons-equipped vehicles during their missions, as well as a variety of helicopters.Kwa wale wadau wa mambo ya medani wanijuze kuhusu hivi vitengo ndani ya jeshi la marekani vina tofauti gani maana kwa ufupi nimeona hata drill instructors wao wakiwa na personalities tofauti.
Naomba kuwasilisha kwa wapenzi wa mambo ya jeshi kwenu