Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,418
- 4,031
.
Kesi ya Malaika Lissu ni ya uhaini. Kwa urahisi wa maneno ni kwa kuzuia mamlaka kuendesha uchaguzi( hisia).
Lissu akiwa bado ndani, mikutano ya Chadema inaendelea nchi nzima. Maelfu kwa malaki wameunga mkono hadharani mambo yaleyale yaliyomtia ndani Lissu na sasa anataka kushtakiwa peke yake. Why?
Kama serikali na Mwanasheria Mkuu wako serious, Lissu hapaswi kushtakiwa peke yake. Kwa maoni yangu atakuwa ameonewa!!
Alternatively, aachiwe huru kesho.