Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Jamani za leo?
Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.
Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .
1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko tena. Hii hali ya kiganga au hii hali ni ya kihuni au ni nini shida yako???
2. Unamke uhudumii kwa lolote bahati umkumbuke ila kwa watu njee unahonga unatunza unapenda na mwisho wasiku ukiishiwa unarudi home kila kitu cheupe .
Yaani hadi kero .
Wewe hata siku moja hujui watoto wanaishije wewe upo chakula kipo na kama hakipo kipigo.
3. Wanaume malaya ambaye kashindikana mpaka makanisani .
Anaombewa leo kesho ananza tena umalaya na pombe kila bar yeye hadi asubuhi .
Kila siku niwanawake wapya wapya tu na anamke na watoto nani mwanaume umri umeenda hivi shida huwaga nini..??
Je huyu mwanaume ambaye anaoa kila siku anamletea mke wake wake zake aliwaoa kila baada ya miezi anasema ni ndoa ya mitala inakubalika zake kwenye kitanda ambacho mke analal anamtoa halafu anamwambia umechuja alale mpya wanakunywa mapombe weeeh nakuja kuamrisha chakula kwa mke mkubwa hivi huwa nini shida??
Wengine vipigo unampiga mwanamke hadi anatoa ujauzito kosa hamna kaulizwa umetoka wapi?
Hujaniambia utachelewa wengine wanampiga mke hadi kumuua.
Kama humtakagi mwanamke hata kama mumezalishana vyakutosha mwache kwa amani kuliko visa kama hivi.
Maisha ni magumu tusipotezeane muda .