Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,728
- 4,817
Peleka moto🎶🎶Nasema we mpelekee moto
Ni bahati mbaya sio kusudio letu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka moto🎶🎶Nasema we mpelekee moto
Ni bahati mbaya sio kusudio letu
Kuachana si ndo kuuwana sasa ? Au ile kauli ya "kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe ni mimi tu ndo siielewagi?"Jamani za leo ?
Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.
Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .
1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko tena. Hii hali ya kiganga au hii hali ni ya kihuni au ni nini shida yako???
2. Unamke uhudumii kwa lolote bahati umkumbuke ila kwa watu njee unahonga unatunza unapenda na mwisho wasiku ukiishiwa unarudi home kila kitu cheupe .
Yaani hadi kero .
Wewe hata siku moja hujui watoto wanaishije wewe upo chakula kipo na kama hakipo kipigo.
3. Wanaume malaya ambaye kashindikana mpaka makanisani .
Anaombewa leo kesho ananza tena umalaya na pombe kila bar yeye hadi asubuhi .
Kila siku niwanawake wapya wapya tu na anamke na watoto nani mwanaume umri umeenda hivi shida huwaga nini..??
Je huyu mwanaume ambaye anaoa kila siku anamletea mke wake wake zake aliwaoa kila baada ya miezi anasema ni ndoa ya mitala inakubalika zake kwenye kitanda ambacho mke analal anamtoa halafu anamwambia umechuja alale mpya wanakunywa mapombe weeeh nakuja kuamrisha chakula kwa mke mkubwa hivi huwa nini shida??
Wengine vipigo unampiga mwanamke hadi anatoa ujauzito kosa hamna kaulizwa umetoka wapi?
Hujaniambia utachelewa wengine wanampiga mke hadi kumuua.
Kama humtakagi mwanamke hata kama mumezalishana vyakutosha mwache kwa amani kuliko visa kama hivi.
Maisha ni magumu tusipotezeane muda .
Hichooo tu ndo nacho wapendea wanawake hata wanakaribia kuniua!!! eti unamtes weeeee!! karibia kumuua lkn hatokiiiii!! hakuachi! na k anakupa tuu bila kinyongo!Eeh eti inashangaza
Pole sana jitahid kujikeep busy wanaume hatuna dawa.. bila kutafuta mambo ya msingi yakufanya utatuchamba sanaJamani za leo ?
Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.
Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .
1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko tena. Hii hali ya kiganga au hii hali ni ya kihuni au ni nini shida yako???
2. Unamke uhudumii kwa lolote bahati umkumbuke ila kwa watu njee unahonga unatunza unapenda na mwisho wasiku ukiishiwa unarudi home kila kitu cheupe .
Yaani hadi kero .
Wewe hata siku moja hujui watoto wanaishije wewe upo chakula kipo na kama hakipo kipigo.
3. Wanaume malaya ambaye kashindikana mpaka makanisani .
Anaombewa leo kesho ananza tena umalaya na pombe kila bar yeye hadi asubuhi .
Kila siku niwanawake wapya wapya tu na anamke na watoto nani mwanaume umri umeenda hivi shida huwaga nini..??
Je huyu mwanaume ambaye anaoa kila siku anamletea mke wake wake zake aliwaoa kila baada ya miezi anasema ni ndoa ya mitala inakubalika zake kwenye kitanda ambacho mke analal anamtoa halafu anamwambia umechuja alale mpya wanakunywa mapombe weeeh nakuja kuamrisha chakula kwa mke mkubwa hivi huwa nini shida??
Wengine vipigo unampiga mwanamke hadi anatoa ujauzito kosa hamna kaulizwa umetoka wapi?
Hujaniambia utachelewa wengine wanampiga mke hadi kumuua.
Kama humtakagi mwanamke hata kama mumezalishana vyakutosha mwache kwa amani kuliko visa kama hivi.
Maisha ni magumu tusipotezeane muda .
Matatizo yote ya wanaume uliy oyataja chanzo chake ni Wanawake.Jamani za leo ?

Wenyewe wanasema hawataki kuzaa na wanaume tofauti wanataka watoto wawe na Baba mmoja hata kama hatoi huduma.No comment mimi mwenyewe nashangaa inakuwaje
Ila pia nawashangaa hawa wanawake wanaoolewa na wanaume kama hao unakuta ameshazalishwa watoto wengi tu lakini bado anaendelea kutega k na kuzalishwa zaidi hivi akili zao huwa ziko matakoni au vipi yaan mwanaume hahudumii familia ipasavyo badala ya kuweka majira unaendelea kuitega mbususu hivyo hivyo tu
Mimi sina shida namapenzi .Mapenzi yatakutesa kweli huu mwaka yaache fanya mambo mengine
Haya wamekuelewa ila unahasira sana yanini kuna mtu kakuudhi??Ukienda kwa imani ya karma Kuna kitu hakiko sawa kwa mwanamke yakitokea hao Kuna conditions fulani umeenda against mfano umepakuliwa bila ya kuolewa so katika akili za wanaume wanajua Kuna jamaa mwingine anapakua pia kimtindo...swala la kuhudumia mwanamke kama unaliwa ovyo hata ukipata mimba Inakuwa na mushkeri huwezi kujua ya nan? msitudanganye sometime mnakuwa vicheche daily mnagongwa mpaka mnachnganya madesa hujui jamaa yupi kakupa mimba ninayo mifani hai kibao..
Ukiwa ulishawai kuziniwa sana na mwanaume basi we na huyo mwanaume nyote wazinzi maana mnafanya mapenzi bila kuoana.Na mzinzi anaoa na kuolewa na mzinzi mwenzie
Kuhudumia ni mapenzi kuhudumia ni raha ila kama mwanamke halijielewi sometime umejibebea mimba kumbe msela alitaka kupita means kwa mda huo hauna thamani..
Wengi wa wanawake ni matahira na wendawazimu , we ushajua ni mme wa mtu kwa nn udate nae? kwa nn wendawazimu na matahira point kubwa ni kwamba wanaangalia kwamba eti anakuhudumia ni ujinga!!
Uwezu kumshtaki jamaa hamjafunga ndoa hata hamjuani kwa wazazi alikuwa anakutumia kwa Siri kama bangi au madawa ya kulevya.
Kivipi??Matatizo yote ya wanaume uliy oyataja chanzo chake ni Wanawake.
Arusha??Mxiu huo ni wivu kwa maana dar ndio nini??Morogoro
Dodoma
Singida
Manyara
Arusha
Simiyu
Acheni huo upuuziNAHUNGA MKONO HOJA TANGU LINI JOGOO AKALEA VIFARANGA
Aisee hayaUtatupiwa matusi balaaa...huu ukweli hawatakagi kabisa kuusikia.
Mimba kuzama ni kosa la mwanamke na ujue kataka hiyo mimba
Ila kuna kaukweli mwanamke ndio ataikubali mimba au aitoe .Hao uliosema ni Wanaume Wasiojielewa,,, unawakosea sana....kuna factors nyingi sana umeziacha kuzizungumzia.,,kabla hujahitimisha na kusema HAWAJIELEWI
Wewe binti hujaolewa unategaje uchi udake mimba..??? na pia Mwanamke unajijua ni mchepuko,,unapata wapi ujasiri wa kubeba ujauzito.... Mwanamke ndio mwenye uamuzi ni wakati gani abebe mimba na wakati gani asibebe.....
Unampa nani polepole sana
mlengwaUnampa nani pole
Sio kwa mateso ndoa ni maridhiano so ikishindikana unasepa kiamani hata kama hatakiKuachana si ndo kuuwana sasa ? Au ile kauli ya "kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe ni mimi tu ndo siielewagi?"
Mimi iweje kwangu mimi sijatoa mada inayoniusu ni mbegu zenu mnazikimbiaImekula kwako.