Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

Kuna wale wanaume anaacha mke na watoto anahamia kwa mchepuko halafu akiugua anakaribia kufa anarudi kufia kwa mke wa ndoa.
 
Jamani za leo?

Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.

Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .

1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko tena. Hii hali ya kiganga au hii hali ni ya kihuni au ni nini shida yako???

2. Unamke uhudumii kwa lolote bahati umkumbuke ila kwa watu njee unahonga unatunza unapenda na mwisho wasiku ukiishiwa unarudi home kila kitu cheupe .
Yaani hadi kero .

Wewe hata siku moja hujui watoto wanaishije wewe upo chakula kipo na kama hakipo kipigo.

3. Wanaume malaya ambaye kashindikana mpaka makanisani .
Anaombewa leo kesho ananza tena umalaya na pombe kila bar yeye hadi asubuhi .
Kila siku niwanawake wapya wapya tu na anamke na watoto nani mwanaume umri umeenda hivi shida huwaga nini..??

Je huyu mwanaume ambaye anaoa kila siku anamletea mke wake wake zake aliwaoa kila baada ya miezi anasema ni ndoa ya mitala inakubalika zake kwenye kitanda ambacho mke analal anamtoa halafu anamwambia umechuja alale mpya wanakunywa mapombe weeeh nakuja kuamrisha chakula kwa mke mkubwa hivi huwa nini shida??

Wengine vipigo unampiga mwanamke hadi anatoa ujauzito kosa hamna kaulizwa umetoka wapi?
Hujaniambia utachelewa wengine wanampiga mke hadi kumuua.

Kama humtakagi mwanamke hata kama mumezalishana vyakutosha mwache kwa amani kuliko visa kama hivi.

Maisha ni magumu tusipotezeane muda .
Pole sana dada. Sisi wengine tuko poa sana! Hao wachache wasituharibie
 
Kuna wale wanaume anaacha mke na watoto anahamia kwa mchepuko halafu akiugua anakaribia kufa anarudi kufia kwa mke wa ndoa.
Mwanaume wa hivi hata asihangaike kurudi kwangu akafie huko huko.
 
Ila kuna kaukweli mwanamke ndio ataikubali mimba au aitoe .
Ila waliokubali ndio watajijua wataleaje wewe ukiambiwa na mimba yako unasemaje ??
SISEMI..

But Nashukuru umeuoa Ukweli kwenye Hoja yangu... Wanawake kuweni makini Otherwise mtazalishwa na kutelekezwa kwa kasi ya 4G... Hasa wale Wanawake wanaoamini Kushika Mimba ni mbinu ya kumtuliza mwanaume.. Niwape POLE in advance..
 
Jamani za leo?

Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.

Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .

1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko tena. Hii hali ya kiganga au hii hali ni ya kihuni au ni nini shida yako???

2. Unamke uhudumii kwa lolote bahati umkumbuke ila kwa watu njee unahonga unatunza unapenda na mwisho wasiku ukiishiwa unarudi home kila kitu cheupe .
Yaani hadi kero .

Wewe hata siku moja hujui watoto wanaishije wewe upo chakula kipo na kama hakipo kipigo.

3. Wanaume malaya ambaye kashindikana mpaka makanisani .
Anaombewa leo kesho ananza tena umalaya na pombe kila bar yeye hadi asubuhi .
Kila siku niwanawake wapya wapya tu na anamke na watoto nani mwanaume umri umeenda hivi shida huwaga nini..??

Je huyu mwanaume ambaye anaoa kila siku anamletea mke wake wake zake aliwaoa kila baada ya miezi anasema ni ndoa ya mitala inakubalika zake kwenye kitanda ambacho mke analal anamtoa halafu anamwambia umechuja alale mpya wanakunywa mapombe weeeh nakuja kuamrisha chakula kwa mke mkubwa hivi huwa nini shida??

Wengine vipigo unampiga mwanamke hadi anatoa ujauzito kosa hamna kaulizwa umetoka wapi?
Hujaniambia utachelewa wengine wanampiga mke hadi kumuua.

Kama humtakagi mwanamke hata kama mumezalishana vyakutosha mwache kwa amani kuliko visa kama hivi.

Maisha ni magumu tusipotezeane muda .
Hahahaaaa, eti wanakunywa mipombe weee!!
 
Back
Top Bottom