Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

Maswali yako yote yanajibiwa na jibu moja tu Wanaume tumeelekezwa tumiliki zaidi ya mwanamke mmoja mkituruhusu haya yote hayawezi tokea
 
Ukienda kwa imani ya karma Kuna kitu hakiko sawa kwa mwanamke yakitokea hao Kuna conditions fulani umeenda against mfano umepakuliwa bila ya kuolewa so katika akili za wanaume wanajua Kuna jamaa mwingine anapakua pia kimtindo...swala la kuhudumia mwanamke kama unaliwa ovyo hata ukipata mimba Inakuwa na mushkeri huwezi kujua ya nan? msitudanganye sometime mnakuwa vicheche daily mnagongwa mpaka mnachnganya madesa hujui jamaa yupi kakupa mimba ninayo mifani hai kibao..

Ukiwa ulishawai kuziniwa sana na mwanaume basi we na huyo mwanaume nyote wazinzi maana mnafanya mapenzi bila kuoana.Na mzinzi anaoa na kuolewa na mzinzi mwenzie

Kuhudumia ni mapenzi kuhudumia ni raha ila kama mwanamke halijielewi sometime umejibebea mimba kumbe msela alitaka kupita means kwa mda huo hauna thamani..

Wengi wa wanawake ni matahira na wendawazimu , we ushajua ni mme wa mtu kwa nn udate nae? kwa nn wendawazimu na matahira point kubwa ni kwamba wanaangalia kwamba eti anakuhudumia ni ujinga!!

Uwezu kumshtaki jamaa hamjafunga ndoa hata hamjuani kwa wazazi alikuwa anakutumia kwa Siri kama bangi au madawa ya kulevya.
🤔
 
Nahisi kuna kitu kinakuumiza sana embu jaribu ukitoe kisiendelee kukuumiza uwe huru nafsini mwako.
Hebu fuata yako badala umshangae aliyenitusi unakuja kunifuata mimi .
Sina shida hata ujue hiloo
 
Pole sana yatapita tu hayo hii dunia hainaga fair.
Jamani ungejua wewe ungetamani sina shida na wanaume wa jf tena niwatu ambao wapo online hamuonani bora zila za dates mnapigiana simu munaonana
 
Jamani ungejua wewe ungetamani sina shida na wanaume wa jf tena niwatu ambao wapo online hamuonani bora zila za dates mnapigiana simu munaonana
Ni kweli hapa ni kwa ajili ya kutoa stress tu wala isikupe shida tuenjoy maisha maadamu uzima upo.
 
Mwanaume anatulizwa na mke mwenye akili na upendo wa dhati , iwapo huna hizo sifa utatukana wanaume sana
 
Back
Top Bottom