Hamisa UPUMBAVU wake TU,
Hakuna mwanaume mbabe kwa mwanamke mnyenyekevu.
Hamisa Alifanya kosa kubwa Sana kwenda kuomba matunzo ustawi wa jamii na mahakamani,akiweka na limit kabisa.
Wanaume huwa tuna vinyongo Sana,
Sometimes Kosa dogo tu ila vinyongo vinyongo vyetu vinaenda Hadi kwa watoto, ukimsahau mama Hadi mtoto unafuta kabisa kichwani liwalo na liwe.
Ukilazimisha pesa ya kula mahakamani,
Unapewa pesa kamili kwa mujibu wa sheria, habar za starehe na Bata hizo sahau.
Hata Kama nilikua Nayo,uwezo upo, sikupi
Sent using
Jamii Forums mobile app