Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
😂 Nmenenepa asa hiviHeheee English figure watata Sana 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 Nmenenepa asa hiviHeheee English figure watata Sana 😂
🤪Jikute kauzu tu
Kwa roho mbaya hii kamwe hunenepi😂😂 Nmenenepa asa hivi
Njoo kwetu unione 😂 nipo kama bearKwa roho mbaya hii kamwe hunenepi😂
Fungua PM Kwanza ili tuje wengi 😂 Dada bearNjoo kwetu unione 😂 nipo kama bear
🤣 Kufanya nini?Fungua PM Kwanza ili tuje wengi 😂 Dada bear
Kukuona Dada etu umenenepa nn🤣 Kufanya nini?
Wewe ni mwanamke unaejielewa mtoa mada asome vizuri comment yakoMm naona mengine ni maamuz ya mwanamke na kama ni upuuz bas wetu wenyew kama hutak kuzaa jizuie na usizae kutegemea Matunzo uwe umejiandaa kisaikolojia kuwa mama
Hayo mengine sijui
Unajua wengine wanadanganywa usitoe mtoto ni baraka .SISEMI..
But Nashukuru umeuoa Ukweli kwenye Hoja yangu... Wanawake kuweni makini Otherwise mtazalishwa na kutelekezwa kwa kasi ya 4G... Hasa wale Wanawake wanaoamini Kushika Mimba ni mbinu ya kumtuliza mwanaume.. Niwape POLE in advance..
Wewe mpuuzi usinifananishe nahao malaya zako waliokosa akili kama weweWewe ni mwanamke unaejielewa mtoa mada asome vizuri comment yako
Huo ndo utaratibu,Kuna wale wanaume anaacha mke na watoto anahamia kwa mchepuko halafu akiugua anakaribia kufa anarudi kufia kwa mke wa ndoa.
Hamisa UPUMBAVU wake TU,Unajua wengine wanadanganywa usitoe mtoto ni baraka .
Jiulize hili amri ya sita usizini wewe unazini unabeba kitu cha shida hicho sasa hujioni unaleta shida .
Baraka zitoke wapi na umezini unaanza kusumbua wanaume za watu kisa mtoto anataka mahitaji aliyekuzalisha ameoa mtu mwingine so nani anataka presha na vioja duniani??.
Inauma watoto wa hamisa wanatengwa na baba zao ila nilan na tifa wanaraha mzee baba yule wa redio 5 anaraha na wanae wandoani .
Sasa huoni hiyo ni presha aisee nikitu siwezagi inauma halafu umfuate sasa atoe hata elfu nikazi sana
Shindwa naulegee kumbe Mungu anamakusudi yake sijaoelewa na matatizo kama wewe walahi ile tiketi nilihongwa na mtu niende chrismass kujirusha mahali pazuri nikasema nikupe uende na mama j ila kwasababu unaenda kumpotezea mwenzako maisha yake tu wala humpendi hiyo tiketi naensa mwenyewe kujirusha na sahau kabisa kwa mba nakupenda kama zamani umeniuzi ulivyomdis mama jHamisa UPUMBAVU wake TU,
Hakuna mwanaume mbabe kwa mwanamke mnyenyekevu.
Hamisa Alifanya kosa kubwa Sana kwenda kuomba matunzo ustawi wa jamii na mahakamani,akiweka na limit kabisa.
Wanaume huwa tuna vinyongo Sana,
Sometimes Kosa dogo tu ila vinyongo vinyongo vyetu vinaenda Hadi kwa watoto, ukimsahau mama Hadi mtoto unafuta kabisa kichwani liwalo na liwe.
Ukilazimisha pesa ya kula mahakamani,
Unapewa pesa kamili kwa mujibu wa sheria, habar za starehe na Bata hizo sahau.
Hata Kama nilikua Nayo,uwezo upo, sikupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujifanya hamnazo hapa dunia hii utakuja kuishia poo hujajenga umebomoa umeharibu kila mahali pembe zote za dunia .Mtuache msitupangie vya kufanya[emoji48][emoji48]
,, tuliwaambia we are fu*k boys,, mkaganda kama ruba wacha tuwape matukio ili next time mchague husband material
Akili za watu wa jf hizi wote hawaelewi tanzania yote hii haijui kuwa watu wamechokaga kudate na wanaume wa tz tumechoka tupumzishwe sio kila post ukiona ndio yangu ninaona mtaani mlivyoo hamna akiliUmepigwa tukio nini mbona makasiriko hivyo vumilia tu hakuna namna hata sisi hatujawakuta na bikra.
Hivi unadhani kuwa mie ni yule bidada ambaye humu walikuwa wananidis .....Itsa Unique flower once again!Dj mlete mrembo na Amapiano......