Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

Umepigwa tukio nini mbona makasiriko hivyo vumilia tu hakuna namna hata sisi hatujawakuta na bikra.
 
Mm naona mengine ni maamuz ya mwanamke na kama ni upuuz bas wetu wenyew kama hutak kuzaa jizuie na usizae kutegemea Matunzo uwe umejiandaa kisaikolojia kuwa mama
Hayo mengine sijui
Wewe ni mwanamke unaejielewa mtoa mada asome vizuri comment yako
 
SISEMI..

But Nashukuru umeuoa Ukweli kwenye Hoja yangu... Wanawake kuweni makini Otherwise mtazalishwa na kutelekezwa kwa kasi ya 4G... Hasa wale Wanawake wanaoamini Kushika Mimba ni mbinu ya kumtuliza mwanaume.. Niwape POLE in advance..
Unajua wengine wanadanganywa usitoe mtoto ni baraka .
Jiulize hili amri ya sita usizini wewe unazini unabeba kitu cha shida hicho sasa hujioni unaleta shida .

Baraka zitoke wapi na umezini unaanza kusumbua wanaume za watu kisa mtoto anataka mahitaji aliyekuzalisha ameoa mtu mwingine so nani anataka presha na vioja duniani??.

Inauma watoto wa hamisa wanatengwa na baba zao ila nilan na tifa wanaraha mzee baba yule wa redio 5 anaraha na wanae wandoani .

Sasa huoni hiyo ni presha aisee nikitu siwezagi inauma halafu umfuate sasa atoe hata elfu nikazi sana
 
Hamisa UPUMBAVU wake TU,

Hakuna mwanaume mbabe kwa mwanamke mnyenyekevu.

Hamisa Alifanya kosa kubwa Sana kwenda kuomba matunzo ustawi wa jamii na mahakamani,akiweka na limit kabisa.

Wanaume huwa tuna vinyongo Sana,
Sometimes Kosa dogo tu ila vinyongo vinyongo vyetu vinaenda Hadi kwa watoto, ukimsahau mama Hadi mtoto unafuta kabisa kichwani liwalo na liwe.

Ukilazimisha pesa ya kula mahakamani,
Unapewa pesa kamili kwa mujibu wa sheria, habar za starehe na Bata hizo sahau.

Hata Kama nilikua Nayo,uwezo upo, sikupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shindwa naulegee kumbe Mungu anamakusudi yake sijaoelewa na matatizo kama wewe walahi ile tiketi nilihongwa na mtu niende chrismass kujirusha mahali pazuri nikasema nikupe uende na mama j ila kwasababu unaenda kumpotezea mwenzako maisha yake tu wala humpendi hiyo tiketi naensa mwenyewe kujirusha na sahau kabisa kwa mba nakupenda kama zamani umeniuzi ulivyomdis mama j
 
Mtuache msitupangie vya kufanya[emoji48][emoji48]
,, tuliwaambia we are fu*k boys,, mkaganda kama ruba wacha tuwape matukio ili next time mchague husband material
Kujifanya hamnazo hapa dunia hii utakuja kuishia poo hujajenga umebomoa umeharibu kila mahali pembe zote za dunia .
Usidhani ni raha sio raha ni kero .
Utabakia unang'a macho huna wakumla wala wakutulia naye wala wakukusaidia .

Tatizo siku hizi wanawake wanakonyezana .
Huyu ni play boy kamle pesa au achana naye au kimbia ni lofa anakupa 10 au kisu halafu lina kukula hadi unazeeka usiende kimbia .

Utapiga nyeto hadi ufe .
Siku yako ya mwisho.
 
Wanawake Woote hoyeeeeeeeee!!11 nyie ni wazuri saana na sisi ndo dawa yenu!!….hata mkitupiga makofi mateke hatuliagi….vikofi vyenu havina nguvu! hakuna cha limbwata wala nini?? msije kujidanganya eti mnaturoga

hivi utamrogaje Mungu weye!! nyie ni mbavu zetu tyuuuu!
 
Hata na nyie hamweleweki unafuatwa na mtu unaanza kuangalia ana gari,nyumba kali fulani anakupenda mnaangalia wenye mali tatizo wenye pesa si waowaji bali waonja asali akipata anachotaka anakudelete hata ukipiga simu hapokei na anakublock haaah naona kote kote kutamu mpaka akili zitapotulia ukiturn 40 unatafuta mtu akupe mimba ili na wewe uitwe mama fulani.
 
Umepigwa tukio nini mbona makasiriko hivyo vumilia tu hakuna namna hata sisi hatujawakuta na bikra.
Akili za watu wa jf hizi wote hawaelewi tanzania yote hii haijui kuwa watu wamechokaga kudate na wanaume wa tz tumechoka tupumzishwe sio kila post ukiona ndio yangu ninaona mtaani mlivyoo hamna akili
 
Itsa Unique flower once again!Dj mlete mrembo na Amapiano......
Hivi unadhani kuwa mie ni yule bidada ambaye humu walikuwa wananidis .....
Mie now ni mwanamke ninaye jitambua siitaji wanaume wa humu nisioowaona .

Wanaume wapo mijini , mitaani nje ya mji wa Arusha ya Tanzania ambao naweza wapata kiurahisi nikitaka mimi sijachakaa mpaka jamii forum wanipatie.

Halafu mwanaume ni yule umempenda . Sio lazima awe billionea.

Kingine basi nikupashe siitajikuungani
shiwa watu humu ninaye Yesu wangu amenipa furaha ya moyo wangu .

Akanionyesha njia ya uzima ambayo inaraha ndani yake naananiepushia mapenzi ya watu ya sio faa .
Sio dili tena kwangu pole mwaya .

Baki humu ukisifiwa na vichaa bye ...
Kuna mtu mmoja aliniambia hili tunakuja humu kujiliwaza tu siku ziende hatumaanishi sijamwelewa ila sasa nimemuelewa .

Na raha sana mwaya .
Mfuate huyu mtu Mungu na ndio utampata mtu huyu YESU atakuonyesha njia saa hihi.
 
Back
Top Bottom