Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

Ustawi sio pa kuvamia unaeza juta yatakayokukuta. Hamisa alibugi sana
Mwenzake Zari alituliza kiburi sasa hivi anakula mema nchi kuanzia yeye mpaka watoto Wanaume wengi hawapendi kupelekwa ustawi wa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…