Nimeomba maoni au majibu!Kwahiyo??
Ili iweje?Mnaweza ku-skip hiyo video mpaka dakika 6 na sekunde 54 huko ndiko mazungumzo yenyewe yanapoanzia. Kwa wenye changamoto kidogo ya lugha nitajaribu kuangalia uwezekano wa kuifanyia tafsiri kwa kiswahili. Kwa wale wenye kuielewa lugha lakini changamoto inakuwa kasi ya mzungumzaji basi kwenye Youtube kuna option ya kupunguza kasi unaweza kuweka 0.75 ukasikiliza kwa spidi ndogo. Ukibonyeza screen ya video halafu kwenye kile kigurudumu juu kulia utapata option hiyo.
Hilo siyo jibu lenye weledi. Ingekuwa ni academic paper ukaandika ulichoandika mhhh.......!We met Jesus, we have experienced His presence in our lives, hatuitaji kujadili uwepo wa Maji wakati tunayanywa kila siku!
Hilo siyo jibu lenye weledi. Ingekuwa ni academic paper ukaandika ulichoandika mhhh.......!
You can not convince any one with that mentality. Ninakuheshimu lakini nimeomba basi kama wewe ni msomi katika eneo hili toa kasoro au fafanuzi kuhusu kilichoongelewa kwenye video hiyo. Natumaini utakuwa na mchango mkubwa.Nimekuwa the best student kwenye hiyo area, Hii ya Mungu Nina Hekima nikiona mtu hataki kujifunza ila anataka kuleta majadiliano yasiyo na faida, ukikutana na Yesu utanielewa!
You can not convince any one with that mentality. Ninakuheshimu lakini nimeomba basi kama wewe ni msomi katika eneo hili toa kasoro au fafanuzi kuhusu kilichoongelewa kwenye video hiyo. Natumaini utakuwa na mchango mkubwa.
Wewe hukusikiliza kilichoongelewa??Ni Bora ungeyaelezea vile ulivyoelewa wew
Nadhani uzi huu umekuzidi umri basi ndugu waachie wengine.I am not convincing you idiot, nimekupisha upite na mtazamo wako!
Si kila mtu anauwezo wa kusikia, ni vizuri ukaandika ulichokusudiaWewe hukusikiliza kilichoongelewa??
Nikipata nafasi nitatafsiri kwa kiswahi. Ahsante!Ukiandika ni tag