Naomba maoni/majibu kutoka kwa wakristo na wanatheolojia kuhusu mafundisho ya mwalimu ( Rabi) Thovia Singer (sehemu ya 1)

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Amani kwenu. Naomba tusikilize video hii ambayo nimeweka link hapo chini. Tovia Singer ni mwalimu wa dini ( Rabi) mwenye asili ya uyahudi na mwenye kufuata imani ya kiyahudi ( Judaism).
Hapa anakanusha kwamba Yesu hakuzaliwa na bikira na wala jina Imannueli (Mungu pamoja nasi) siyo jina la Yesu Kristo wa agano jipya.

Youtube link:
View: https://www.youtube.com/live/m3qM3w4XHGg?si=kSBeSRlzXAkSvxTE
 
We met Jesus, we have experienced His presence in our lives, hatuitaji kujadili uwepo wa Maji wakati tunayanywa kila siku!
 
Mnaweza ku-skip hiyo video mpaka dakika 6 na sekunde 54 huko ndiko mazungumzo yenyewe yanapoanzia. Kwa wenye changamoto kidogo ya lugha nitajaribu kuangalia uwezekano wa kuifanyia tafsiri kwa kiswahili. Kwa wale wenye kuielewa lugha lakini changamoto inakuwa kasi ya mzungumzaji basi kwenye Youtube kuna option ya kupunguza kasi unaweza kuweka 0.75 ukasikiliza kwa spidi ndogo. Ukibonyeza screen ya video halafu kwenye kile kigurudumu juu kulia utapata option hiyo.
 
Ili iweje?
 
We met Jesus, we have experienced His presence in our lives, hatuitaji kujadili uwepo wa Maji wakati tunayanywa kila siku!
Hilo siyo jibu lenye weledi. Ingekuwa ni academic paper ukaandika ulichoandika mhhh.......!
 
Wakristo wasomi wa biblia mbona mko kimya? Hamna majibu?
 
Nimewaalika wakristo wa kawaida ( laymen) wachungaji,wainjilisti, mapadri, maaskofu, makardinali, mitume, manabii na wote wenye kushiriki imani ya kikristo kwenye uzi huu.
 
Hilo siyo jibu lenye weledi. Ingekuwa ni academic paper ukaandika ulichoandika mhhh.......!

Nimekuwa the best student kwenye hiyo area, Hii ya Mungu Nina Hekima nikiona mtu hataki kujifunza ila anataka kuleta majadiliano yasiyo na faida huwa namkwepa! ukikutana na Yesu utanielewa!
 
Nimekuwa the best student kwenye hiyo area, Hii ya Mungu Nina Hekima nikiona mtu hataki kujifunza ila anataka kuleta majadiliano yasiyo na faida, ukikutana na Yesu utanielewa!
You can not convince any one with that mentality. Ninakuheshimu lakini nimeomba basi kama wewe ni msomi katika eneo hili toa kasoro au fafanuzi kuhusu kilichoongelewa kwenye video hiyo. Natumaini utakuwa na mchango mkubwa.
 
I am not convincing you idiot, nimekupisha upite na mtazamo wako!
 
Yupo sawa rabi ni myahudi na yesu alikuwa myahudi wanajuana vizuri kuliko mimi muha wa kakonko!
 
Back
Top Bottom