Naomba maoni/majibu kutoka kwa wakristo na wanatheolojia kuhusu mafundisho ya mwalimu ( Rabi) Thovia Singer (sehemu ya 1)

Yupo sawa rabi ni myahudi na yesu alikuwa myahudi wanajuana vizuri kuliko mimi muha wa kakonko!
Asante. Ni kweli yeye anaisoma Tanak kwenye lugha mama ambayo ni mother tongue yake. Ndiyo ninawaalika hasa wanatheolojia wakristo kwenye uzi huu watoe maoni ya kisomi kuhusu anachofundisha Rabi Tovia . Tusiwe waoga. If we have a strong refutation let us make it public here.
 
Hawawezi kuja na hoja yoyote zaidi ya kile walicholishwa makanisani kwamba yesu ni mungu!
TRUST ME.
 
Ndio naona wapo kimya japo kwenye jukwaa hili wapo wengi sana na wengi tu wamesoma andiko langu wakapita pembeni!
 
Wanateolojia na wakristo wenye ujuzi wa maandiko matakatifu mko wapi mbona siwasikii???
 
Kimya kimezidi kwenye huu uzi.!!!! Wakristo na watheolojia mmekwama wapi? Mapadri, maaskofu , makardinali,makatekista,wachungaji, mitume, manabii, wainjilisti n.k wote hamna hoja???????
 
Back
Top Bottom