- Thread starter
- #21
Asante. Ni kweli yeye anaisoma Tanak kwenye lugha mama ambayo ni mother tongue yake. Ndiyo ninawaalika hasa wanatheolojia wakristo kwenye uzi huu watoe maoni ya kisomi kuhusu anachofundisha Rabi Tovia . Tusiwe waoga. If we have a strong refutation let us make it public here.Yupo sawa rabi ni myahudi na yesu alikuwa myahudi wanajuana vizuri kuliko mimi muha wa kakonko!