Asante. Ni kweli yeye anaisoma Tanak kwenye lugha mama ambayo ni mother tongue yake. Ndiyo ninawaalika hasa wanatheolojia wakristo kwenye uzi huu watoe maoni ya kisomi kuhusu anachofundisha Rabi Tovia . Tusiwe waoga. If we have a strong refutation let us make it public here.Yupo sawa rabi ni myahudi na yesu alikuwa myahudi wanajuana vizuri kuliko mimi muha wa kakonko!
Watu wote wenye majibu hewa kama ya huyu naomba mkae mbali. Kama huna cha kumsapoti au kumkosoa huyo Rabi wewe pita zako tu!Udini umekujaa kichwani
Nadhani uzi huu umekuzidi umri basi ndugu waachie wengine.
Hawawezi kuja na hoja yoyote zaidi ya kile walicholishwa makanisani kwamba yesu ni mungu!Asante. Ni kweli yeye anaisoma Tanak kwenye lugha mama ambayo ni mother tongue yake. Ndiyo ninawaalika hasa wanatheolojia wakristo kwenye uzi huu watoe maoni ya kisomi kuhusu anachofundisha Rabi Tovia . Tusiwe waoga. If we have a strong refutation let us make it public here.
Ndio naona wapo kimya japo kwenye jukwaa hili wapo wengi sana na wengi tu wamesoma andiko langu wakapita pembeni!Hawawezi kuja na hoja yoyote zaidi ya kile walicholishwa makanisani kwamba yesu ni mungu!
TRUST ME.
Wanateolojia na wakristo wenye ujuzi wa maandiko matakatifu mko wapi mbona siwasikii???Ndio naona wapo kimya japo kwenye jukwaa hili wapo wengi sana na wengi tu wamesoma andiko langu wakapita pembeni!