Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Hapo akisifiwa, ye akireply aanze kutupia na tu kopa mixer tu emoj mbali mbali tunako hamasisha. Easy tu, uwaga hawakatai hao watu.

Kuna huyo niliyejifunzia enzi hizo za miaka ya TANU😂
Nilimchanaga Akajibu …. Depal, I’m married.
Nikamuuliza.. kwani ukija unakuja na mke wako?
Akaniuliza unatumia bangi ya wapi nikuletee? 🤣🤣
Nikamwambia cha hapo tu jirani mjini Nairobi 😛😛…
Basi ngoma ya Shenseea ikawa completed.
“You think you coulda get inna my feelings? (Nah)
You couldn't get me fi sekkle down?
Me give you a hit and run..
😂😂😂😂Nimecheka
 
Back
Top Bottom