Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Hapo akisifiwa, ye akireply aanze kutupia na tu kopa mixer tu emoj mbali mbali tunako hamasisha. Easy tu, uwaga hawakatai hao watu.

Kuna huyo niliyejifunzia enzi hizo za miaka ya TANU[emoji23]
Nilimchanaga Akajibu …. Depal, I’m married.
Nikamuuliza.. kwani ukija unakuja na mke wako?
Akaniuliza unatumia bangi ya wapi nikuletee? [emoji1787][emoji1787]
Nikamwambia cha hapo tu jirani mjini Nairobi [emoji14][emoji14]…
Basi ngoma ya Shenseea ikawa completed.
“You think you coulda get inna my feelings? (Nah)
You couldn't get me fi sekkle down?
Me give you a hit and run..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machoziii. Una nn lakini wee?
 
Sasa imagine on your mid 20's atokee mshangazi ako 35 plus ile confidence unaitoa wapi ya kumtongoza hata kama unamtaka? Obvious utakuwa unajibebisha tu kwenye sms ila hausemi kile unataka kiwe. I was in that situation kipindi niko Certificate, kuna madam lecture alikuwa anatufundisha Law alikuwa anavutiwa sana na mimi na nilipata kulijua hilo na hasa baada ya kujua nilikuwa zinachaji kuliko wote class. Ilikuwa hivyo hadi namaliza Diploma 2 akawa anakuja hadi nyumbani kumtembelea sister nae alikuwa staff just to see me picha nilikuwa naielewa ila confidence hamna sababu ya age gap.
Wee kwa fix hujambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaah
 
Panyaaa ulitegwa na ka punje ka karanga🤣🤣🤣🤣

Unatuma mahabaaa unasema nimekosea akajibu okay usijali....what next?? Kwanza ni kujiharibia anajua kumbe kuna mwingine ndio ulikua unamtumia
Mimi alinitumia akasema kakosea, nikasema hapa hapa nishapata pa kuanzia, kumbe yeye alitumia kama mbinu tu baadae ananiambia mbona sijatumia nguvu kubwa kumtongoza, nikamwambia sababu n tayari ulikuwa ushanipenda. Hatukudumu.
 
🤣🤣🤣🤣 Na kwanini unyimwe namba?? Itakuwa kuna sehemu unazembea cazee
Huwa najua yuko kwenye huba zito, mwanamke akiwa free agent au ana hang bila mtu wa kumzagamua for a while huwa wako vulnerable. Au ikiwa aliyenaye kamchoka ndio huwa wepesi kutoa namba. So sihangaikagi na mtu ambaye hana interest na mimi.
 
We nawee. Hebu acha kujifanya Zinjanthropus uliyeanza na dunia. Kwenye mada ya utoto umefuata nini?
Evelyn amekuuliza, umeshindwa kabisa kumuingiza jamaa Kingi?

Yaani na machepele yote hayo umeshindwa kabisa kumfanya jamaa atikise nyavu?
 
Back
Top Bottom