Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Umesema kati yao, mbona kama tayari
 
Sijui kwanini wanawake wa kitanzania huogopa kutongoza,
Anyway, ampeleke sehemu for dinner rafiki yako anywe red wine halafu ajifanye amelewa amkiss mdomoni the rest watamaliza
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
na mie nimewaza hivyoo.
Hilo jamaa fisi linatafuta chance lifumue mshono 🤣🤣🤣🤣🤣
Tuliosoma cuba hapo tushaelewa sijui kwann yy kashindwa kujua hili?? Na tena anaonekana hit & run hilo likibutua halirudi nyuma au litakuwa linajipigia kila likibanwa na upwiru, hapo ndoa hakuna..!!
 
Jirani kwaresma imeisha umeanza uchochezi 😂
 
Mawasiliano
Awasliane nae mara nyingi zaidi huku akimuulizia vitu sensitive
Mawasiliano yao yawe ya usiku mara nyingi
(Mm nikiona mdada anawasiliana na mm mara nyingi zaidi, it means she has no one...na hyo inanipa chance ya kumtongoza. It happened to me twice, na hata haikuwa ngumu)
Zawadi + outing
Ampatie zawadi sensitive kama boksa, mkanda, vest...huku akichombeza Kwan maneno, I wish to see ilivyokutoa [emoji23][emoji23]
Hapo hata DeepPond atafikiria kuongeza mchepuko mwingine tofauti na mama J [emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
mzabzab njoo mpe maufundi
 
Hilo jamaa fisi linatafuta chance lifumue mshono 🤣🤣🤣🤣🤣
Tuliosoma cuba hapo tushaelewa sijui kwann yy kashindwa kujua hili?? Na tena anaonekana hit & run hilo likibutua halirudi nyuma au litakuwa linajipigia kila likibanwa na upwiru, hapo ndoa hakuna..!!
😂😂😂😂 hatari tupu uduguu,
 
Mpigie simu mwambie kesho uje ufturu, akija muwekee movie la mahaba halafu mkalie kihasara uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakikisha anaiona pichu kwa mbali na iwe nyeupe [emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516]
 
Huwa najua yuko kwenye huba zito, mwanamke akiwa free agent au ana hang bila mtu wa kumzagamua for a while huwa wako vulnerable. Au ikiwa aliyenaye kamchoka ndio huwa wepesi kutoa namba. So sihangaikagi na mtu ambaye hana interest na mimi.
🤣🤣🤣🤣 wacha wee!! Kwahiyo unasubiri libume akupe namba ukapige muhuri au sio??
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Muogee dawa
 
Back
Top Bottom