Mawasiliano
Awasliane nae mara nyingi zaidi huku akimuulizia vitu sensitive
Mawasiliano yao yawe ya usiku mara nyingi
(Mm nikiona mdada anawasiliana na mm mara nyingi zaidi, it means she has no one...na hyo inanipa chance ya kumtongoza. It happened to me twice, na hata haikuwa ngumu)
Zawadi + outing
Ampatie zawadi sensitive kama boksa, mkanda, vest...huku akichombeza Kwan maneno,
I wish to see ilivyokutoa [emoji23][emoji23]
Hapo hata
DeepPond atafikiria kuongeza mchepuko mwingine tofauti na mama J [emoji23][emoji119]
Sent using
Jamii Forums mobile app