Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Asante kwa statistics zinazotoa moyo. Yeye uoga wake sio kukataliwa; anaogopa tu jamaa kumuona kicheche na pia kumtangazia kuwa kamtongoza mwenyewe.
Kuna flirt zinaonaonesha huyu anakutaka. Azitumie ila kamwe asimwambie nakutaka. Kwa mwanaume kutongozwa Ina cut off Ile Hali ya kiumbe. Atakuto*ba ndio ila ujue anaweza asikurudie. Hapo unltajiona kama mavi. We want what is expensive and not what is cheap. Don't be cheap but flirt.
 
🤣🤣🤣🤣 hamna maana nyie, na ukiona mwanamke had kakubali kukupa namba ujue na vya sirini atakupa ni suala la muda..!!
Tena ukichelewa kumtafuta anakutafuta yy kukuuliza mbona hupigi au bando huna??
😂😂😂😂😂 utoe tu vya sirini ndio maana mi nikinyimwa namba sihangaikagi
 
Kuna flirt zinaonaonesha huyu anakutaka. Azitumie ila kamwe asimwambie nakutaka. Kwa mwanaume kutongozwa Ina cut off Ile Hali ya kiumbe. Atakuto*ba ndio ila ujue anaweza asikurudie. Hapo unltajiona kama mavi. We want what is expensive and not what is cheap. Don't be cheap but flirt.
Asante kwa nasaha. Itazingatiwa
 
Mbona mnaipinga sana hii mbinu ambayo iliwahi kufanya kazi kwangu, baadae nikaambiwa ulikuwa mtego tu.
Panyaaa ulitegwa na ka punje ka karanga🤣🤣🤣🤣

Unatuma mahabaaa unasema nimekosea akajibu okay usijali....what next?? Kwanza ni kujiharibia anajua kumbe kuna mwingine ndio ulikua unamtumia
 
Unaweza ukawa uko sahihi kabisa. Mimi ni mwanaume hivyo najua. Kama unampenda msichana ki-haswa na huyo msichana mnakuwa wote mara kwa mara, na anakuonyesha positive response kwa namna yoyote basi ni lazima utataka kuwahi kumtaka urafiki kabla hajawahiwa na wengine. Mwanzisha thread mwambie huyo rafiki yako afanyie mtihani mdogo sana huyo mwanaume. Wanapokuwa wapokutana huyo dada amwambie nina haraka nakwenda kumuwahi boyfriend wangu ananisubiri, halafu aone ata-respond namna gani.
Am sure atamwambia msalimie shemej🤣
 
Back
Top Bottom