Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Aende Ofisini na kanga moko tu
 
Yani yeye ndo kaanza kumtaka ila anataka aonekane katingozwa, Wanawake ni wanafiki sana hasa huyo rafiki ako ni kicheche haswa.
Ati wakulane tu🙄🙄🙄

Mwanetu akaze tu hakuna demu hapo kuna UTI sugu na Heartbeat tu.
Sasa huku mnasema #kataandoa huku wakijitokeza wa kukulana tu mnasema kicheche.
 
Mpigie simu mwambie kesho uje ufturu, akija muwekee movie la mahaba halafu mkalie kihasara uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakikisha anaiona pichu kwa mbali na iwe nyeupe [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi uzoefu sina. Sijawahi kutongoza.
Basi binti amwambie huyo Domo zege hivi " jumamosi nitakuja kuona na kushinda unapokaa'
Akifika abadili nguo ili aoshe vyombo na usafi wa hapa na pale'
Domo zege akiona Kama hata sema kitu atagusa.
 
Sasa huku mnasema #kataandoa huku wakijitokeza wa kukulana tu mnasema kicheche.
Tunakula tunajenga kibanda japo kwa muda kabla hatujaachia wababa, sasa demu anaetaka kuliwa tu na kuachwa manake anatembea na NYEGE mkononi hawezi hata hudumia penz kwa angalau week 2.
 
Sasa njia rahis si atoke nae out?
 
Tunakula tunajenga kibanda japo kwa muda kabla hatujaachia wababa, sasa demu anaetaka kuliwa tu na kuachwa manake anatembea na NYEGE mkononi hawezi hata hudumia penz kwa angalau week 2.
Kwahiyo raha yako uje kumdrop akiwa ashaanza kukuzoea au sio??
 
Nawapenda wadada wa siku hizi yaan wamenyooka
 
Hata hivyo mapenzi ni hisia , hata mtoto wa kike pia anahisia kwahiyo kama vip amchane tu hzi sio enzi za akina nyerere mambo yamebadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…